Jamani Kuna Mbunge Wa Singida alikuwa anatafakari Mjadala wa Katiba!! Tunaomba Mtuwekee Hapa Kwani Ni Muhimu kwa Wananchi kuona Wabunge wa Magamba Wanavyotafakari na Kujadili Mswaada wa Katiba!! Ni Mwananchi Ukurasa wa 4 anaitwa Salome Mwadu!! Twaomba Mtuwekee Picha YAke Hapa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.