Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

Hili la faru John lazima liondoke wa watu, hii so kawaida Mkuu kalivalia njuga braa!!
 
Duh aiseeee kwahiyo hapo ndio ilikuwa enzi za uhai wake kabla ya umauti Kumkuta??!! Kweli Faru John alikuwa yupo vizuri....
 
Faru anapimwa DNA binadamu anawekwa kwenye sandarusi na kutupwa majini na mwingine Ben saanane anapotea serikali kimya.. Guys we need kuchoma kadi za chama hiki
 
Yaani haiingi akilini msaidizi binafsi wa m\kiti wa chama apotee halafu efforts zinazotumika na chama ni ndogo kiasi hichi. Mbowe anajua Ben yuko wapi. Pia nilitegemea press release ya Ben iwe kivyake...sasa shangaa hapo kwenye taarifa yao kaanza kutajwa faru then Ben kadokezewa tu kwa mistari kadhaa...huhitaji kuwa mtaalamu wa roketi kung'amua haka ka-soap opera
 
Chama kina jeshi la polisi? Chama kina TISS? Chama kinakusanya kodi za wananchi? Jeshi la polisi liko kwa ajili ya nani? Linaendeshwa kwa kutumia kodi za nani na kwa maslahi ya nani? Ninaomba uache upumbavu kwenye masuala ya maana kama haya!
 
Bila faru John tusingejua level ya ubinadamu wetu.

Ndio mjue Tanzania tuna viongozi wa aina gani.

Waliodhani tumepata viongozi wa wanyonge wasahau, wanyonge waliouawa kinyama na kushonwa kwenye viroba nani atawapima DNA?

Ukiwa mpinzani thamani yako inazidiwa na thamani ya mnyama.

Kama mlikuwa mnajidanganya polisi iko kulinda raia na mali zake mjitafakari upya.

Alamsiki.

[HASHTAG]#bringbackbenalive[/HASHTAG]
 
Ko PM alivobize na faru john kila cku bila hata kuongelea wahamiaj feki kwenye mifuko mto ruvu, kupotea kwa ben, kuteswa kwa lema.means faru john alikuwa na maana hapa tanzania kuliko hata raia wa nchi yake
My take; sichomi kadi ila tutaambiana ukwel humuhumu ccm
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
.....
......najiuliza sana farujoni alipelekwa Serengeti kisa wivu wa mapenzi hata kupelekea kuuwa. .waliouwawa ambao ndo wahanga Lakini walaaaa
 
Back
Top Bottom