WAZIRI MEMBE NDANI YA UBATANI (TURKEY) istanbul

WAZIRI MEMBE NDANI YA UBATANI (TURKEY) istanbul

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10341477_494157154017247_8514110654089145692_n.jpg


10314709_494161150683514_1822396679919696308_n.jpg


Waziri Membe akiwa na Waziri mwenzake wa mambo ya nchi za nje wa UTURUKI Mr Ahmet davutoglu mjini Ankara nchin Turkey.
 
Kwa hiyo ile *16 ya tiketi za ndege imeshachukua nafasi tz kweli shida
 
Kuna Uzi umo humu unaelezea jinsi Membe anavyotembeza bakuli la kuomba misaada ya fedha na magari ya kampeni za urais. Isijekuwa ameenda kututia aibu zaidi huko ubatani maana haya MaCCM linapokuja suala la kuomba hayana aibu. Yanahongwa hadi suti.

Membe urais utausikia bombani, kicheko cha urais utachekea chooni Tu. Say no to Joka la Mdimu
 
Pesa za Ghaddaffi, Pesa za OIC na nchi za kiislamu alizowaahidi mahakama ya Kadhi.
 
Mkuu huyu ndio mrisi wa mtalii sawa lakini safari hii ni kutoka mkoa wa unguja kuja kuwa baba yetu mpya sasa yatakuwa vipi au ndo ule msimo kama halijafika basi liko njiani linakuja
 
Back
Top Bottom