Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

Mchengelwa ni asset kwa Taifa,
 
Mbowe kawa gaidi kabla hata Mchengelwa hajawa waziri,
Msiwape watu ubaya usiowahusu,
Mahakama ni huru sana wacha tuiache ifanye kazi
Mimi sio mfuasi wa Mchengelwa, lakini nakerwa na hawa Pro-chadema kufanya kila kitu sasa nchini ni Mbowe....Mbowe...Mbowe!

Wanakera sana, hawa jamaa Ikitokea wakashika dola, miaka mitano yote wataitumia kulipiza visasi na kukomoa watu.

Wako kama Interahamwe!
 
Mchengelwa
 
Yule hana lolote, mzuri wa kuongeaongea tu vitendo sifuri.Juzi kasema watumishi wanaodai malimbikizo watalipwa,hakuna aliyelipwa.Kanajua kuongeaongea hako!! Kwa mawaziri waliopo hakuna waziri anayemfikia Lukuvi katika ueledi na utendaji.
 
Huyu mchengerwa anajitahidi kwenye hyo wizara aisee ana stahili pongezi
 
Unateseka
 
Tumekosoma Mh. Waziri...lazima ujisifie usingoje kusifiwa hapa duniani...ila wewe ni noma kama Uncle Shamte vile....vya mteremko..washa mtoto wa ....arafu mambo hayooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…