- Sikusema anything zaidi tu ya kuuliza swali, na wala hukuwa na sababu ya kulijibu, hapa simtetei yoyote ila ninasema hivi kudai kuwa Mengi ameshinda au Masha ameshinda ndio uyanga na simba wenyewe,
- Ukweli ni kwamba tulioshindwa hapa ni sisi wananchi kwa sababu tumeshindwa kutumia sheria kuwawekea mipaka hawa ndugu zetu wawili wenye nguvu kubwa sana zisizo na ukomo ndani ya taifa letu, sasa kama kwa kuwa na mawazo haya ninakuwa ninamtetea mtu so be it! na sihitaji poiint zaidi bro sisi wananchi ndio tulioshindwa hapa!
- Yale yale kwa sababu wewe Mushi, unamtetea Mengi na Mrema, basi wewe ni mzalendo kuliko wengine wote wasiowatetea, tuna safari ndefu sana hili taifa kufika tunakoenda!