wimbi la mbele
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 647
- 266
- Thread starter
-
- #21
UNGEANDIKA STORY KAMILI UNGEELEWEKA VIZURI HAPA NI KAMA KUNA VITU UNAFICHA.
Sizani kama kiongozi mkubwa na mzoefu kama huyu mama atakurupuka tu na kutaka PPA itumike kutakuwa na sababu.
Tafuta habari kamili uweke hapa ma GT tuichambue mbivu na mbichi.
There is a huge demand for nitrogenous fertilizer East and Central Africa, siamini serikali imezuia mwekezaji kuanzisha kiwanda cha fertilzer.
Client ambaye ni foreign investor alikuja na pesa zake. Feasibility ikafanyika kila kitu kuwa kiwanda kiwe pale kwa ajili ya not only kusupply Tanzania lakini na nchi zote zile (Malawi, Mozambique, Zambaia, Tanzania, Burundi, Rwanda, Kenya na Uganda to name a few)
sasa kama investor anakuja na 100% investment na hahitaji kufanya kazi hata moja na serikali kwa nini waziri Nagu amlazimishe kufuata masharti ya Public Procurement Act?
Nimetoa mfano kuwa ni sawa na Bakhressa kuambiwa akitaka kujenga kiwanda cha Unga Arusha lazima afuate public procurement act japo investment ni yake binafsi by 100%
kaka hiyo ndio nchi yetu
kuna wenye nchi
kuna wala nchi (Nagu&co)
Kuna wananchi (ambao wanaambiwa kuwa kilimo kwanza is the way to go)
Jamani, japokuwa mtoa mada hajaiweka wazi mada yake, lakini uamuzi wa kuanzisha Kiwanda ni lazima ufuate taratibu maalumu kwa mujibu wa sheria. Aidha, ili kuanzisha kiwanda kama cha mbolea ambacho kinatumia aina mbalimbali za kemikali hatari, ni lazima tathmini ya athari za kiwanda hicho kwa mazingira na wakazi wa eneo kilipo kiwanda vizingatiwe. Inawezekana hayo yote hayakufanyika na hivyo kumfanya Waziri Nagu kuchukua hatua hiyo. Mtoa mada, fanya kajiutafiti kidogo ili kupata majibu muhimu, kisha post upya mada yako tuisome na ikithibitika ni hivyo, tuchambue uamuzi wa huyo Mama kupinga ujenzi wa kiwanda wakati Serikali yake inahamasisha Kilimo Kwanza.
ata mimiBado sijakupata vyema.
letedata mkuuPengine hataki ushindani na kiwanda cha Minjingu ambacho kipo maeneo ya Kaskazini!