juzi nimepita pale Tazara nikiwa kwenye foleni nikaskia buuu transforma lilipiga moto kila mtu na njia yakeNatambua kabisa licha ya kuwa Makamba ni waziri wa nishati,lakini sina uhakika kama taaluma yake na kazi yake vinawiana.Hata hivyo issue ya taaluma yake sio tatizo kwani hata waziri wa Afya Ummy ni mwanasheria lakini anafanya vizuri kwenye wizara yake.
Nimejaribu kufuatilia distribution line za Tanesco maeneo mengi nchini watu wengi wanakumbwa na tatizo la umeme kuwa mdogo (low voltage) kitu ambacho kinapelekea wateja kuunguza vifaa vyao.
Yapo mambo kadhaa yanayopelekea tatizo hili mi nitaeleza machache:
1) Umbali kutoka transformer kwenda kwa mteja hautakiwi kuzidi 1000m,wateja wote wataounganishiwa umeme baada ya 1000m wataanza kupata umeme pungufu.
2) Ukubwa wa waya; Hiki nacho ni kigezo kingine ambacho kwa Tanesco hakizingatiwi kabisa na kimesababisha Sana low voltage. Distribution line inatakiwa kuwa na waya zenye size ya100mm lakini Tanesco wanatumia zaidi 25mm kitu ambacho kinasabaisha low voltage. Mh waziri vyombo vyetu vinaungua sana kwa upungufu wa umeme. Na ukweli tatizo la size ya waya kwenye distribution line ni la nchi nzima. Fuatilia isije ikawa kwenye makaratasi wameandika wamenunua waya za 100mm ilihali kwenye manunuzi ni 25mm cha juu watu wanakula.
3) Transforma overload, hili ni tatizo la trasforma kuzidishiwa mzigo usioendana na ukubwa wake japo smtz inaweza kuwa fase balancing.
Note: Nimeona Tanesco humu wanajaribu Kujibu kero ila wanahitaji mahali tatizo lilipo na namba za simu, tafali changamoto hizi ni za Tanzania nzima fuatilieni distribution line yenu badilisheni hizi waya za 25mm najua mnatambua haya yote ila mnafanya kusudi.
Thnx
Acha ubishi anza kufuatilia utaona,maeneo mengi sana wanatumia 25mm kwenye usambazaji yaani nguzo kwa nguzo,walau wangetumia 50mm ambayo pia kwa standard inayotakiwa kwenye distribution wana force kitaalam inatakiwa 100mm.25mm inatumika sana sana toka kwenye nguzo kwenda kwa mteja ila nguzo na nguzo inatumika 50mm
Natambua kabisa licha ya kuwa Makamba ni waziri wa nishati,lakini sina uhakika kama taaluma yake na kazi yake vinawiana.Hata hivyo issue ya taaluma yake sio tatizo kwani hata waziri wa Afya Ummy ni mwanasheria lakini anafanya vizuri kwenye wizara yake.
Nimejaribu kufuatilia distribution line za Tanesco maeneo mengi nchini watu wengi wanakumbwa na tatizo la umeme kuwa mdogo (low voltage) kitu ambacho kinapelekea wateja kuunguza vifaa vyao.
Yapo mambo kadhaa yanayopelekea tatizo hili mi nitaeleza machache:
1) Umbali kutoka transformer kwenda kwa mteja hautakiwi kuzidi 1000m,wateja wote wataounganishiwa umeme baada ya 1000m wataanza kupata umeme pungufu.
2) Ukubwa wa waya; Hiki nacho ni kigezo kingine ambacho kwa Tanesco hakizingatiwi kabisa na kimesababisha Sana low voltage. Distribution line inatakiwa kuwa na waya zenye size ya100mm lakini Tanesco wanatumia zaidi 25mm kitu ambacho kinasabaisha low voltage. Mh waziri vyombo vyetu vinaungua sana kwa upungufu wa umeme. Na ukweli tatizo la size ya waya kwenye distribution line ni la nchi nzima. Fuatilia isije ikawa kwenye makaratasi wameandika wamenunua waya za 100mm ilihali kwenye manunuzi ni 25mm cha juu watu wanakula.
3) Transforma overload, hili ni tatizo la trasforma kuzidishiwa mzigo usioendana na ukubwa wake japo smtz inaweza kuwa fase balancing.
Note: Nimeona Tanesco humu wanajaribu Kujibu kero ila wanahitaji mahali tatizo lilipo na namba za simu, tafali changamoto hizi ni za Tanzania nzima fuatilieni distribution line yenu badilisheni hizi waya za 25mm najua mnatambua haya yote ila mnafanya kusudi.
Thnx
Hii serikali ni wanajipimia tuuWaziri wa mchongo hana sauti yoyote Tanesco kazi anayoiweza ni kujipimia kwa kamba yake tu
Kwani Makamba yale mabilioni aliyoyaiba awali ameshayarudisha? Nyani kapewa shamba la mahindi alinde!!!Natambua kabisa licha ya kuwa Makamba ni waziri wa nishati,lakini sina uhakika kama taaluma yake na kazi yake vinawiana.Hata hivyo issue ya taaluma yake sio tatizo kwani hata waziri wa Afya Ummy ni mwanasheria lakini anafanya vizuri kwenye wizara yake.
Nimejaribu kufuatilia distribution line za Tanesco maeneo mengi nchini watu wengi wanakumbwa na tatizo la umeme kuwa mdogo (low voltage) kitu ambacho kinapelekea wateja kuunguza vifaa vyao.
Yapo mambo kadhaa yanayopelekea tatizo hili mi nitaeleza machache:
1) Umbali kutoka transformer kwenda kwa mteja hautakiwi kuzidi 1000m,wateja wote wataounganishiwa umeme baada ya 1000m wataanza kupata umeme pungufu.
2) Ukubwa wa waya; Hiki nacho ni kigezo kingine ambacho kwa Tanesco hakizingatiwi kabisa na kimesababisha Sana low voltage. Distribution line inatakiwa kuwa na waya zenye size ya100mm lakini Tanesco wanatumia zaidi 25mm kitu ambacho kinasabaisha low voltage. Mh waziri vyombo vyetu vinaungua sana kwa upungufu wa umeme. Na ukweli tatizo la size ya waya kwenye distribution line ni la nchi nzima. Fuatilia isije ikawa kwenye makaratasi wameandika wamenunua waya za 100mm ilihali kwenye manunuzi ni 25mm cha juu watu wanakula.
3) Transforma overload, hili ni tatizo la trasforma kuzidishiwa mzigo usioendana na ukubwa wake japo smtz inaweza kuwa fase balancing.
Note: Nimeona Tanesco humu wanajaribu Kujibu kero ila wanahitaji mahali tatizo lilipo na namba za simu, tafali changamoto hizi ni za Tanzania nzima fuatilieni distribution line yenu badilisheni hizi waya za 25mm najua mnatambua haya yote ila mnafanya kusudi.
Thnx
50mm nguzo na nguzo ni nusu ya (100mm) anayoshauri mleta mada.25mm inatumika sana sana toka kwenye nguzo kwenda kwa mteja ila nguzo na nguzo inatumika 50mm
eti maeneo mengimaeneo mengi sana
Size ya waya inayotumika ni eneo la kipenyo chake ni Mm za mraba 25,au 25square mm.Waya ya 100sqmm ni kubwa sana na itakuwa nzito,Natambua kabisa licha ya kuwa Makamba ni waziri wa nishati,lakini sina uhakika kama taaluma yake na kazi yake vinawiana.Hata hivyo issue ya taaluma yake sio tatizo kwani hata waziri wa Afya Ummy ni mwanasheria lakini anafanya vizuri kwenye wizara yake.
Nimejaribu kufuatilia distribution line za Tanesco maeneo mengi nchini watu wengi wanakumbwa na tatizo la umeme kuwa mdogo (low voltage) kitu ambacho kinapelekea wateja kuunguza vifaa vyao.
Yapo mambo kadhaa yanayopelekea tatizo hili mi nitaeleza machache:
1) Umbali kutoka transformer kwenda kwa mteja hautakiwi kuzidi 1000m,wateja wote wataounganishiwa umeme baada ya 1000m wataanza kupata umeme pungufu.
2) Ukubwa wa waya; Hiki nacho ni kigezo kingine ambacho kwa Tanesco hakizingatiwi kabisa na kimesababisha Sana low voltage. Distribution line inatakiwa kuwa na waya zenye size ya100mm lakini Tanesco wanatumia zaidi 25mm kitu ambacho kinasabaisha low voltage. Mh waziri vyombo vyetu vinaungua sana kwa upungufu wa umeme. Na ukweli tatizo la size ya waya kwenye distribution line ni la nchi nzima. Fuatilia isije ikawa kwenye makaratasi wameandika wamenunua waya za 100mm ilihali kwenye manunuzi ni 25mm cha juu watu wanakula.
3) Transforma overload, hili ni tatizo la trasforma kuzidishiwa mzigo usioendana na ukubwa wake japo smtz inaweza kuwa fase balancing.
Note: Nimeona Tanesco humu wanajaribu Kujibu kero ila wanahitaji mahali tatizo lilipo na namba za simu, tafali changamoto hizi ni za Tanzania nzima fuatilieni distribution line yenu badilisheni hizi waya za 25mm najua mnatambua haya yote ila mnafanya kusudi.
Thnx
kwa transformer inaanza ya 100m, baada ya umbali kidogo inapungua to 50mm ambayo ndiyo husambaza, 100m haisambazidistribution wana force kitaalam inatakiwa 100mm.