Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Mkuu Mwana Mpotevu, mimi hushangazwa tu pale viongozi wa Serikali na CCM wanaposema ukweli.Uongo nimeshazoea.Halafu wanakuwa 'wakavu' kweli kweli. Na hushangaa mara zisizozidi tano kwa mwaka
Kwa propaganda na kupanda chuki haujambo.Mkuu Mwana Mpotevu, mimi hushangazwa tu pale viongozi wa Serikali na CCM wanaposema ukweli.Uongo nimeshazoea.Halafu wanakuwa 'wakavu' kweli kweli. Na hushangaa mara zisizozidi tano kwa mwaka
Nipo hapa nikisikiliza hotuba ya Bajeti ya wizara ya Ujenzi inayosomwa na Waziri John Magufuli. katika hotuba yake ameliambia Bunge sasa hivi kuwa UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUANZIA TABATA DAMPO HADI KIGOGO UNAENDELEA.
Jamani mimi ni mtumiaji wa kila siku wa barabara hii ya Tabata Dampo Kigogo nikitokea Tabata Segerea kuelekea Mjini kwenye shughuli zangu. Mara ya mwisho nimepita leo hii jioni. ukweli ni kwamba WAZIRI AMELIDANGANYA BUNGE na hakuna hata dalili za kuwepo kwa ujenzi wa barabara ya lami zaidi ya kuharibika vibaya kwa barabara hiyo.
Nawaomba wabunge wa dar es salaam kusimama kidete kupinga uongo huu wa Magufuli ambao hauna faida kwa wananchi. Mnyika na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan tafadhalini hakikisheni mnamwambia ukweli Magufuli kuwa amewadanganya wananchi na taifa lote kwa ujumba.
Kwa propaganda na kupanda chuki haujambo.
Hiyo barabara ni mbaya sana
cc
magufuli
mbona anasifiwa sana ka jembe la ukweli na mnamtaka awe rais
Hiyo barabara ni mbaya sana
cc
magufuli
gamba uko serious au?
Yani makufuli ni moja ya wanasiasa wanaofanya siasa yepesi sana
Eti mtu kama makufuli naye anandoto za kuja kuwa rais wa nchi hii
Siku ikitokea hivyo nabadili uraia nachukuwa wa somalia
Yani makufuli ni moja ya wanasiasa wanaofanya siasa yepesi sana
Eti mtu kama makufuli naye anandoto za kuja kuwa rais wa nchi hii
Siku ikitokea hivyo nabadili uraia nachukuwa wa somalia
Kitendo chako cha kumbagua Magufuli nami nasema haitakuja tokea mchaga akawa president wa Tangayika na Tanzania