Sio mgeni hapo wizarani, alisha fanya awamu ya mkapa. so wanalijua joto lake.Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!
Kazi imeanza...sasa hivi ni get on your marks....december ni get ready....January GO!
Magufuli si mtu wa kuumauma maneno yule ni mtu wa kazi kila mtu anamjua,ila nilichokiona ni kama katibu mkuu hakuwa na raha kabisa,sijui kwa nini,Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!
AMEWAAMBIA MAAFISA KTK WIZARA YAKE WATAKAOSHINDWA KWENDA NA KASI YAKE BORA WAJIUZULU!AMEAHIDI KUTEKELEZA MALENGO NDANI YA MIAKA 3 MIAKA 2 INAYOBAKI YA KUMALIZIA MALIZIA.Naibu waziri mwakyembe alikuepo.ANASEMA WAANDISI NA WAKANDARASI WASIFIKIRI TZ NI BUSINESS AS USSUAL
Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!
katibu mkuu lazima akose raha kwani anajua zile enzi za kawambwa za kula kuku zimekwisha sasa ni kazi tu.magufuli aanze asafishe TANROADS kwanza kwani hapafai.Magufuli si mtu wa kuumauma maneno yule ni mtu wa kazi kila mtu anamjua,ila nilichokiona ni kama katibu mkuu hakuwa na raha kabisa,sijui kwa nini,
Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!