Waziri magufuli aanza kazi

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,509
11,881
AMEWAAMBIA MAAFISA KTK WIZARA YAKE WATAKAOSHINDWA KWENDA NA KASI YAKE BORA WAJIUZULU!AMEAHIDI KUTEKELEZA MALENGO NDANI YA MIAKA 3 MIAKA 2 INAYOBAKI YA KUMALIZIA MALIZIA.Naibu waziri mwakyembe alikuepo.ANASEMA WAANDISI NA WAKANDARASI WASIFIKIRI TZ NI BUSINESS AS USSUAL
 
Kazi imeanza...sasa hivi ni get on your marks....december ni get ready....January GO!
 
Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!
 
Sio mgeni hapo wizarani, alisha fanya awamu ya mkapa. so wanalijua joto lake.
 
Na ameshasitisha kazi zilizotangazwa na TANROADS za regional maanagers na zingine!
 
Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!
Magufuli si mtu wa kuumauma maneno yule ni mtu wa kazi kila mtu anamjua,ila nilichokiona ni kama katibu mkuu hakuwa na raha kabisa,sijui kwa nini,
 
AMEWAAMBIA MAAFISA KTK WIZARA YAKE WATAKAOSHINDWA KWENDA NA KASI YAKE BORA WAJIUZULU!AMEAHIDI KUTEKELEZA MALENGO NDANI YA MIAKA 3 MIAKA 2 INAYOBAKI YA KUMALIZIA MALIZIA.Naibu waziri mwakyembe alikuepo.ANASEMA WAANDISI NA WAKANDARASI WASIFIKIRI TZ NI BUSINESS AS USSUAL

Sasa kazi imeanza kwa Mhe. Magufuli
 
Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!

Hivi wewe unamjua Magufuli au la!
 
Magufuli si mtu wa kuumauma maneno yule ni mtu wa kazi kila mtu anamjua,ila nilichokiona ni kama katibu mkuu hakuwa na raha kabisa,sijui kwa nini,
katibu mkuu lazima akose raha kwani anajua zile enzi za kawambwa za kula kuku zimekwisha sasa ni kazi tu.magufuli aanze asafishe TANROADS kwanza kwani hapafai.
 
nina imani kubwa sana na Magufuli, sio jk wetu, mtu wa tabasamu muda wote!
 
Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!

Unauhakika?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom