ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,639
- 51,485
Wewe una shida za Kisaikolojia sio bureWapepeta midomo Matapeli
Nimepita Iringa.Wanaicheza ngoma (wanadua)huku wananung'unika.Cheki nao.Maneno Tu Hakuna Jipya
Umepotoka kidogo.Wapepeta midomo Matapeli
Jitu ambalo linatakiwa kuchukua hatua na lenyewe linalalamikaWewe una shida za Kisaikolojia sio bure
Umesikiliza video?Jitu ambalo linatakiwa kuchukua hatua na lenyewe linalalamika
Video ndio inatatua tatizoUmesikiliza video?
Hivi hili jambo Lina maslahi gani kwao?Umeongea point sana mkuu ... tatizo hutasikia mwana siasa Toka ccm akizungumzia hili suala
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda vizingatie mipango Miji sio kujengwa hovyo hovyo kwenye makazi ya watu nk Kwa visingizio vya uchumi wa viwanda..uwepo wa fremu nyingi ni matokeo ya uchumi wa uchuuzi na ukosefu wa ajira za viwandani matokeo yake vijana nguvu kazi wanakwenda kuwa wachuuzi wa bidhaa za wachina.
Taifa linatakiwa lijikite kwenye uchumi wa viwanda vikubwa na vidogo na sio uchuuzi.
Ajabu wanaoshia kwenye matamko badala ya vitendo!Maneno Tu Hakuna Jipya