jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameliamuru Jeshi la Polisi kumkamata Mtu yeyote atakayevihusisha vyombo vya Dola na matukio ya kihalifu yanayotekelezwa na 'watu wasiojukikana'
> Waziri Lugola amesema yeyote atakayevituhumu vyombo vya Dola kwa matukio ya watu wasiojulikana kupitia mitandao ya kijamii au kwenye Baa basi akamatwe kwa mahojiano
> Ameongeza kuwa kama watu hao wataachwa basi watachangia kuchafua taswira ya vyombo vya dola jambo ambalo hatoliruhusu kwenye uongozi wake