Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,325
- 152,136
Wapinza msipohoji haya anayohoji barafu wa JamiiForums kuhusu Chato Airport mnadhani nani mwingine atahoji?
Eleweni haya anayosema barafu kama ni ya kweli basi mjue yataishia mitandaoni tu na hakuna mwandishi atakaeandika kwani waandishi wetu siku hizi kwa kiasi kikubwa hufanya kazi ya ku-report tu kila kinachosemwa na wanaoandika habari za kiuchunguzi ni wachache sana.
Au mnasubiri kuyahoji/kuyaongelea haya ndani ya Bunge tu?
Nakumbuka enzi zile mlivyokua wepesi wa kuhoji mambo kupitia press conference na kwakweli mlisaidia sana watanzania kujua madhaifu yaliyokuwepo ila hii trend ya sasa ya kukaa kimya kwakweli inaondoa dhana na maana nzima ya upinzani.
Sidhani kama mtashitakiwa kwa kuhoji mambo ya aina hii as long as mtakuwa mnahoji na kusema ukweli maana hata haya anayoyasema barafu kuhusu Chato Airport sidhani kama yamewahi kukanushwa popote.
Tangu awamu hii iingie madarakani,Waziri Kivuli ambae aliwahi kuhoji/kuongelea mapungufu yaliyopo serikalini nje ya Bunge ni Waziri Kivuli wa Afya tu pale alipotoa tamko kuhosu ukosefu wa madawa nchini na mwingine ni Tundu Lissu aliehoji zuio la mikutano ya kisiasa ila wengine mnasubiri vikao vya Bunge ndio mkaongee(sijui kama tutafikia kwa style hii kwakweli).