Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,249
Maigizo.com
Anatatizo la mihemkoAmeshalegea huyu.
Alidhani uwaziri ni kama class monitor
Hizo kampuni pia wanawinda?Hapo kuna kampuni nyingi za uwindaji ila hawa waarabu wanajeuri saana.
Thomson, Normad na Dorobo kidogo wanaiheshimu jamii inayoishi pale. Au tatizo ni nature ya mkataba?
Hawawindi. Ila wanatoroka kulipa maduhuli ya serikali ndani ya hifadhi za taifa. Nje ya hifadhi za taifa miundo mbinu ya ukusanyaji fedha kwa shughuli za kiutalii wa picha ni duni kwani vijiji havina uwezo wa kuzungukia kambi zote za kitalii zilizopigwa kwenye ardhi Yao kila siku ili kuhakiki idadi ya wageni waliolala au kuingia katika siku husika hivyo kufanya makampuni ya picha kutengeneza mega profits.Hizo kampuni pia wanawinda?
Yaani sikutegemea kama ningecheka asubui hii,asante sana Mkuu.Baada ya kuingia kati na kuanza kuicheza ngoma amegundua kua kumbe sio rahisi kama inavyoonekana ukiwa nje
Thomson hawa wanafanya shughuli za utalii mkuu.Hizo kampuni pia wanawinda?