Waziri Kijaji: Nasubiri ripoti ya Tume inayochunguza upya tukio la Makonda kuvamia Clouds

Huo ndo uzuri wa criminal case,criminal case is timeless,ukibaka kesi itakusubiri hata ukiwa 95 yrs
 
Bwasheh unaambiwa watu wanazo cctv videos za yaliyofanyika zaidi ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ogopa teknolojia mzee
Ila ngoja tuone bwasheh kama unavyosema

Ova
Na waliodhulumiwa na Bashite kwa namna yeyote ile ni wakati sasa wakutoka na kutoa malalamiko yao, ili kuwe na nguvu ya kumshitaki BASHITE.
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
kama alivyosamehewa nani??
 
nibora tume kuliko polisi watakuja na hadithi za sungura na fisi
Tume itamwambia awaombe radhi Clouds tv na ndio imeisha hiyo!

Hujiulizi kwanini Waziri kajitokeza wakati kuna Wakili wa kujitegemea katangaza kumshtaki Makonda " mahakamani"?
 
Tume itamwambia awaombe radhi Clouds tv na ndio imeisha hiyo!

Hujiulizi kwanini Waziri kajitokeza wakati kuna Wakili wa kujitegemea katangaza kumshtaki Makonda " mahakamani"?
Kumbe wakili hawezi endelea na litigation Hadi tume itoe tamko ,na je endapo wakili ataendelea na na mchakato kortin tume inaweza athiri litigation kortin kwatamko lake
 
Ngoja tuone!

Mbona kwa Sabaya na Mbowe hazikuundwa tume?
Mlio karibu na Bashite mumtonye atie akili asome alama za nyakati. Wanamuelekeza KIBLA mda wowote, kama JAMBAZI Sabaya.
Samia kuvaa kijeshi sio bure, anamfunga huyo ile aweze pata hela za USA kwa unafuu. Wanamwambia kwani ni analea waliodhulum haki za wengine kuishi.
 
Na ule mshepu wana watajisevia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe wakili hawezi endelea na litigation Hadi tume itoe tamko ,na je endapo wakili ataendelea na na mchakato kortin tume inaweza athiri litigation kortin kwatamko lake
Ni swala la muda tu, Bashite anaenda kupata β€œ mwenziake” wa maisha Jela. πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜†
 
Tatizo wanajisahau, wakiwa madarakani hawataki kuboresha magereza wanahisi kule si kwao. Sauti ya Chid Benzino
 
Una elimu ndogo rudi shule
 
Whaaaat? Ingekuwa hivyo basi duniani wakosaji kusingekuwa na haja ya kuwachukulia sheria kwa sababu wameshajifunza. Wabakaji, majambazi, mafisadi, vibaka na kila mkosaji asifanywe chochote kwa sababu ameshajifunza hivyo asamehewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…