Waziri Kangi Lugola jitathmini

Kisa kumtaja Haji Manara.Kuna mizaha mingi sana inafanyika bungeni siyo leo tu . Na wakati mwingine hata spika hufanya mzaha.Au kwa kuwa leo ni Simba ?
Akili ni nywele, kwenye masuala serious usimba na yanga pia?
 
Sababu alizowahi kuzitoa Mbowe wakati wa kupokea fisadi sugu kugombea urais zilikuwa zipi??

Sababu za wanacdm kuruhusu mwenyekiti wa maisha ndani ya cdm ni zipi???

Demokrasia msiyoifanya ndani ya cdm mnataka muipate wapi
Eheeeeeh huyo katokea wap?
 
Wazuri wako CHADEMA tu... Sidhan kama kuna Mbunge wa CCM mwenye akili zaidi ya Nape na Bashe kwa mujibu wa Vipofu wa humu JF. Tuache unafiki na uzandiki, huyo huyo Lugola wakat anamsapoti EL alikuwa anaonekana bonge la Mwanasiasa ila kapata U NW kawa mbaya mbaya zaidi. Tuna minyoo ya Ubongo sio bure, tuache ushabiki wa Vyama na Ukanda manina zenu.
 
u

uanadhani kumtukana tu lowasa kunakufanya uwe na jina kubwa huko ccm? nani basi hakuwa na upande hapo 2015? umejingishwa nawe ukakubali. leo hata slaa mliyetaka kumpora mke mnamuona shujaa kisa aliondoka chadema. mkubwa akili zako zipo likizo
 
Mheshimiwa Kangi Lugola wewe ni mtu mzima kiumri na mtu mkubwa sana kimadaraka katika nchi hii. ( naibu waziri) . Kitendo chako ulichofanya bungeni cha kuulizwa swali na mbunge tena swali sensitive linalohusu climate change na badala ya kujibu swali wewe unaleta utani wa kuingiza mambo ya HAJI MANARA NI UTOTO NA UPOTEZAJI MUDA wa hali ya juu sana.

Tunajua mmekataza bunge live ili mkandamize haki zetu za kidemokrasia lakini tunajua unyeti wa mahali hapo ulipo. Kwanini uache kujibu swali la mbunge na badala yake unaingiza mambo ya Simba na Yanga?

Jitathimini mkuu
Weka swali hadharani aliloulizwa, tumkanyage vizuri
 
Hivi lile zee lila rushwa bado unalitilia maanani mkuu?
The old man is total garbage mkuu!
 
Wazuri wako CHADEMA tu... Sidhan kama kuna Mbunge wa CCM mwenye akili zaidi ya Nape na Bashe kwa mujibu wa Vipofu wa humu JF. Tuache unafiki na uzandiki, huyo huyo Lugola wakat anamsapoti EL alikuwa anaonekana bonge la Mwanasiasa ila kapata U NW kawa mbaya mbaya zaidi. Tuna minyoo ya Ubongo sio bure, tuache ushabiki wa Vyama na Ukanda manina zenu.

Mange mites can cause pigs to shake their heads!
 
Huyu WAZIRI alipoteuliwa alianza kazi kwa mbwembwe na kudai ataibomoa nyumba ya mama rakwatare iliyojengwa ndani ya hifadhi ya Mikoko
 
Sababu alizowahi kuzitoa Mbowe wakati wa kupokea fisadi sugu kugombea urais zilikuwa zipi??

Sababu za wanacdm kuruhusu mwenyekiti wa maisha ndani ya cdm ni zipi???

Demokrasia msiyoifanya ndani ya cdm mnataka muipate wapi
Yanahusiana vipi na huu uzi? Hivi unajua kama kuna watoto wako humu JF? Unarudi nyumbani wanakuchora tu. Be reasonable weye!
 
Back
Top Bottom