labda wameambiwa anaingia na weapons of mass destruction kwenye meza ya majadilianoKwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Mmekuwa wapole baada ya kuona Acacia wamefikaHuyo mzalendo lengo lake ni kutahadharisha , si kutisha .
Mara eti tusiwe waoga...lakini Lissu akimchana chana Magu nako mnapiga kelele, huwa mnataka nani awe mwoga na nani asiwe mwoga nyie vilaza wa Lumumba?Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Komando kipensi ...ha ha ha..
ila wahenga tunatia aibu kwa uoga wa kijinga na kwa bahati mbaya tunataka kuwajengea uoga vijana wetu.
Pia watu hawaelewi kuwa siku hizi watu wenye skills za kijeshi wanatumika sana ktk makampuni hasa linapokuja suala la strategy. Tafiki zinaonesha kuwa wanajeshi wana uwezo wa kuchukua maamuzi haraka na pia ni wepesi wa kuona kinachofuata kama ilivyo kwenye vita.Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Kuna watu wana akili za kijinga sana hapa tz kwetu, wengine walisema tutanyolewa bila maji na hawakutoa suruhisho na walitamba kuwa walipiga kelele sana kuhusu madini, so hatua zinapochukuliwa tena wanabadili gia angani, na leo hao wazungu wamekuja kwa majadiliano, sasa tena wameanza eti wapo makomandoo-ni shidaaaa!Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Barrick
Hatujawahi kuogopaMmekuwa wapole baada ya kuona Acacia wamefika
MONGES shida yenu mnadhani nyinyi ni watanzania bora zaidi kuliko wengine MNAKOSEA SANA. Mnachosahau ni kuwa wote tunaojadiliana humu ndani tumeficha utambulisho wetu kwa hiyo HUKUMU hizo tunazotoa si sahihi sana.Kuna watu wana akili za kijinga sana hapa tz kwetu, wengine walisema tutanyolewa bila maji na hawakutoa suruhisho na walitamba kuwa walipiga kelele sana kuhusu madini, so hatua zinapochukuliwa tena wanabadili gia angani, na leo hao wazungu wamekuja kwa majadiliano, sasa tena wameanza eti wapo makomandoo-ni shidaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wabongo wengine wazoea kufikiria kupitia mat.Ako hata aje aliyemuua Osama si lolote wala chochote mbele ya sheria
Kumbe mtu mwenyewe ana vimasters tuuuu! Hachomoki kwa Leprofesse Kabudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo si kulipa. Tumejiandaa kuwatongoza ili walipe?Hata awe Ninja msingi walipe chetu