Waziri Kabudi, mpinzani wako katika majadiliano na Barrick ni Komandoo wa Jeshi

Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
labda wameambiwa anaingia na weapons of mass destruction kwenye meza ya majadiliano
 
Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Mara eti tusiwe waoga...lakini Lissu akimchana chana Magu nako mnapiga kelele, huwa mnataka nani awe mwoga na nani asiwe mwoga nyie vilaza wa Lumumba?
 
Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
 
Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Pia watu hawaelewi kuwa siku hizi watu wenye skills za kijeshi wanatumika sana ktk makampuni hasa linapokuja suala la strategy. Tafiki zinaonesha kuwa wanajeshi wana uwezo wa kuchukua maamuzi haraka na pia ni wepesi wa kuona kinachofuata kama ilivyo kwenye vita.
 
Kwani kuwa Komando wa jeshi kunamfanya kuwa Komandoo wa madini? Huu woga wa watu sijui unatokana na nini. Inawezekana tumeingia kwenye matatizo mengi sababu ya watu wenye fikra kama zako. Nina uhakika kama angekuwa ni mtu mwenye sifa hizo hizo ila kutoka Kenya mweusi tii sidhani kama ungeonesha hisia hii ya woga.
Kuna watu wana akili za kijinga sana hapa tz kwetu, wengine walisema tutanyolewa bila maji na hawakutoa suruhisho na walitamba kuwa walipiga kelele sana kuhusu madini, so hatua zinapochukuliwa tena wanabadili gia angani, na leo hao wazungu wamekuja kwa majadiliano, sasa tena wameanza eti wapo makomandoo-ni shidaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chris Voss on How to Master Negotiation in Business and Life

Source: The Black Swan Group
 
Hyo ni vita ya kimbinu sio kibabe wala kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
Barrick

Company recruitment program targets veterans

November 11, 2016

Barrick has actively recruited military veterans for years, but now it's taking things to another level. The Company recently hired Joel Watson in the role of Director, Veteran Sourcing and Placement, to oversee a Company-wide Veterans Recruitment Program aimed at attracting veterans to work at Barrick.

"First and foremost, veterans self-select to put service before self, which says much about their individual character, drive and willingness to work together in teams," says Watson, a lawyer who also served in an elite unit in the Canadian Armed Forces.

The impetus for the program came from Barrick Executive Chairman John Thornton, who witnessed firsthand the impact that employing veterans could bring while visiting the Switch data center campus in Henderson, Nevada. The data center hosts the servers of more than 1,000 companies, including companies like Google, Cisco, eBay, and Barrick; and its complex computer systems simply cannot afford to fail. Many Switch employees are veteran nuclear submariners, trained in a no-fail environment.

"Having seen these people in action, along with the shining example set by Barrick's Chief Operating Officer, Richard Williams, himself a former British Special Forces Officer, a decision was made to recruit more veterans," Watson says.

Veterans bring a rare combination of skills and character that are well suited to mining. They're disciplined, resilient, innovative, and adapt quickly to change. They know how to lead, yet work cooperatively; and they're keenly aware of the importance of safety. They have also been at the forefront of the agile "Team of Teams" concept that Barrick is adapting, which will assist others in making the transition.

"Soldiers, sailors, and aircrew work in a fast-moving environment that's always changing, and they're trained to work with complex technologies," Watson says.

Williams adds that veterans have diverse skillsets that encompass everything from pipefitting and plumbing to computer science and data analytics. "Adding veterans will help buttress the outstanding workforce that already exists at Barrick, as we work to build the best-in-class company of the future, and deliver value to our shareholders and the communities in which we operate," he says.


Actively recruiting veterans

As part of the program, Barrick will actively recruit veterans where veterans are found. That means visiting military bases, joining organizations that support veterans transitioning out of the military, attending job fairs targeted at veterans, and leveraging the personal networks of veterans already working at the Company. It also means engaging groups that support veterans whose military service is ending. Barrick is now a member of the Military Employment Transition Network, a Canadian organization that supports veterans transitioning to civilian life, and a designated Military Friendly Employer in Canada and awaiting similar certification in the United States. The Company is also a member of the Honor Foundation, a U.S.-based group that supports Naval Special Warfare operators transitioning to civilian employment.


Sponsoring INVICTUS Games hiring conference

One prominent initiative that Barrick recently agreed to support is the Veterans Hiring Conference to be held during the 2017 INVICTUS Games in Toronto next September. Barrick will be the signature sponsor of the two-day conference during the games. The INVICTUS Games were created in 2014 by Prince Harry to support wounded soldiers transitioning to civilian life through the power of competitive sport. Teams from multiple nations participate, and the games will be carried on major television networks worldwide. Barrick's sponsorship of the games' first-ever hiring conference will help take the games to a new level in terms of long-term employment prospects for wounded veterans, which aligns with Barrick's own Veterans Program. Barrick leadership will kick off the Veterans Hiring Conference, and there will be multiple opportunities for Barrick employees to volunteer at the games.


Strategically placing job ads

The Veterans Recruitment Program will also target veterans with strategically placed job ads. For example, Barrick, in partnership with Great Basin College in Elko, Nevada, now posts job openings in GI Jobs, a print and online publication received by every serving member of the U.S. military. Barrick is also advertising jobs on social networking sites like Facebook and LinkedIn. Additionally, the human resources departments in each country where Barrick operates are consciously recruiting veterans from their respective countries, or countries in close proximity.

In addition to more targeted recruiting, Barrick is developing a database of veterans at every Company site, along with an inventory of their skillsets. There are several reasons for this, Watson says. First, the Company wants to thank the veterans for their service. Second, the Company wants to provide mentors for veterans who are new to the Company. Third, employees with military backgrounds can help evaluate job candidates with similar backgrounds. Fourth, veterans with distinct skillsets can help train others in these skills and provide workforce flexibility because veterans are often cross trained in more than one trade or skill.

"Veterans don't just bring unique skills, they're trained leaders who know how to train others and they often have multiple trades," Williams says. "We want to take advantage of that functionality."


Initiative advancing rapidly

The Veterans Recruitment Program has advanced rapidly since the program launched in June. All told, there are more than 200 veterans currently working across Barrick, with constant increases—including 33 new hires this year alone. Participants in the Company's weekly Business Plan Review meeting will recognize the iron hand of Karine Lachapelle, a former military intelligence officer who ran the Canadian Special Forces Operations Centre, keeping people on message and on time. Business Improvement people in Nevada have seen firsthand the enthusiasm of Rob Neitzel, a former U.S. Special Forces Officer, and the energy of Ed Humphries, a former British Special Forces Officer. These are just some of the veterans who are making an impact at Barrick.

Ultimately, Williams says, the Veterans Recruitment Program is another way that the Company is working to enhance talent, strive for excellence, and generate greater value for all Barrick stakeholders.

Learn more about the recruitment program at barrick.com/careers/veterans.
 
Kuna watu wana akili za kijinga sana hapa tz kwetu, wengine walisema tutanyolewa bila maji na hawakutoa suruhisho na walitamba kuwa walipiga kelele sana kuhusu madini, so hatua zinapochukuliwa tena wanabadili gia angani, na leo hao wazungu wamekuja kwa majadiliano, sasa tena wameanza eti wapo makomandoo-ni shidaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
MONGES shida yenu mnadhani nyinyi ni watanzania bora zaidi kuliko wengine MNAKOSEA SANA. Mnachosahau ni kuwa wote tunaojadiliana humu ndani tumeficha utambulisho wetu kwa hiyo HUKUMU hizo tunazotoa si sahihi sana.
Turudi kwenye uhalisia- WAKATI wa utawala wa Nyerere ilibainika kuwa ujuzi na maarifa yetu katika sekta ya madini ni MDOGO SANA. Kilichoongezeka mpaka leo hii kutoka hapo ni kuibuka kwa watanzania wachache walioonja utamu wa faida za madini kiuchumi na wanataka kututumia sisi wote ili mnyomyaji mzungu atoke waje wao wachache. Bado wananchi wa kawaida hawatafaidi. Ujuzi na maarifa yetu bado ni kama Nyerere alivyotuacha.
Lengo la mjadala huu ni kujaribu kusaidia tu na kuonyesha wenzetu wamejiandaaje siyo katika kujadiliana tu lakini katika uchumi wa madini na rasilimali zingine.

Wenzetu bila aibu nasema wako vizuri. Kusema hivyo haina maana tuwaache wafanye watakavyo- tuwasome ili tuwashinde pamoja na huo uzuri na uzoefu wao.

Mh. Kabudi aliwahi kusema Makampuni makubwa kama Barrick huwezi kuyatisha kwa sheria au mikataba- wao wanaogopa kuharibiwa heshima yao mbele ya macho ya watu.
Pamoja na kujua hilo sisi tumeng'ang'ana na sheria sheria sheria sheria na anayetuongoza huko ni mwanasheria
 
Takataka kabisa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Lu-ma-ga,
Wewe ndiyo takataka ya maji taka mchanganyiko na kinyesi.
Umesoma CV ya kiongozi wa Timu ya ACACIA ukalinganisha na ya Prof. Kabudi au unabwatuka tu?Kuna Mitanzania akili zenu ni za kushikiwa. Kwa vile ww ni li-su-**** la Lu-ma-ga basi atakachosema Baba yako Ma-gu-fuli ni yaleyale ya unafiki wa wasioafiki waseme ndiyoooooooooooooooooooooooooo!!! Pambaf.
 
Jamani ninyi Wabongo mnaogopa nini? Mnaposikia Mzungu tu basi, Mzungu ni nani? Mimi for more than ten years now nafanyakazi na UN na ninawatuma hawa wazungu, wahindi, wajapan mbona sioni chchote zaidi juu yao. Hapo shule tu, tena wengi wa Tanzania wanotuwakilishi kwenye hili wamesoma shule walizosoma hawa wazungu, tumesoma nao hawa hakuna cha kutishika. Tunahitaji wataalam wazuri waliobobea kwenye sector ya madini na sheria za madini, mikataba ya Kimataifa na za ki biashara za Kimataifa, Wachumi wazuri that is all. Hakuna cha kuhofia, hapo ni data tu zitaongea. Kama umewakilisha makontena matano Serikali halafu ukawakilisha mankontena 10 kwa shipping agents, huhitaji shule ngumu kujua kama umepigwa. Kwahiyo hapa ni data tu, tunasema tumeibiwa, tuwaonesha tumeibiwa nini na tumeibiwa vipi? Tunasema wanadanganya, tuwaambie wanadanganya nini na kivipi watatumia mbinu gani katika kudangaya. Tunasema wamekwepa kodi, ni kodi ipi na wamekwepa vipi. Hapa ni data tu, tuwakilishe data kwa ushahidi usiokua na shaka
Mkuu wabongo wengine wazoea kufikiria kupitia mat.Ako hata aje aliyemuua Osama si lolote wala chochote mbele ya sheria
 
Kumbe mtu mwenyewe ana vimasters tuuuu! Hachomoki kwa Leprofesse Kabudi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kumsifia Le'professe wa kubumba huyo. Nani asiyejua kuwa jina la Prof. Kabudi lilikuwemo kwenye orodha ya wenye vyeti fake/hewa iliyotolewa na Waziri wenu wa Utumishi Bi Kairuki?? Hiyo tayari inaonyesha kuwa huyu Professor Kabudi amefika hapo kwa vyeti vya kughushi!!! Lakini kwa vile orodha ya wenye vyeti fake ilitoka akiwa tayari ni mteule wa Baba Bashite ndiyo ikawa salama yake!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom