Waziri hakutendewa haki!

Waziri hakutendewa haki!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,764
Imagine wewe ndiye huyo jamaa ambae hajavaa barakoa hapo pembeni!😭😭😭
 
Hii hufanyika kwenye nchi ambazo viongozi wake wanaabudu shetani ama wana ukichaa usiosikia dawa

Lakini kwa nini muheshimiwa Mipango alishindwa kuzuia kikohozi & machozi
 
Nadhani alikohoa tu Baada ya kukutana na oxygen halisi ya Tanzania hizi oxygen za mitungi nazo ziangaliwe kwa jicho la tatu nyingine sio pure kiasi cha kufaa kwa matumizi ya Binadamu!
 
Halafu ni daktari! Kukaa karibu hivyo na mtu mwenye ugonjwa wa kuambukiza!!!?
 
Back
Top Bottom