johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,114
Mmechanjwa lini tena mheshimiwa ? Si mlisema mnaizindua kesho ?Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Source: ITV habari
Mungu ni mwema wakati wote.
Viongozi Hawa Kweli Zoa ZoaIla Tanzania hii basi tu,
Sijui tulimkosea Nini Mungu mpaka kutupatia viongozi wa aina hii.
Hajazingua ila ameongea ukweli.Huyu mama ndiyo kazingua kabisa si angesema kesho hiyo na wao ndiyo wata anza kuchanjwa hata kama sio kweli ili raia waelewe sasa chanjo inazinduliwa kesho halafu wanasema wamesha pata chanjo tayari duh.
Huyu mama ndiyo kazingua kabisa si angesema kesho hiyo na wao ndiyo wata anza kuchanjwa hata kama sio kweli ili raia waelewe sasa chanjo inazinduliwa kesho halafu wanasema wamesha pata chanjo tayari duh.
Hajazingua ila ameongea ukweli.Huyu mama ndiyo kazingua kabisa si angesema kesho hiyo na wao ndiyo wata anza kuchanjwa hata kama sio kweli ili raia waelewe sasa chanjo inazinduliwa kesho halafu wanasema wamesha pata chanjo tayari duh.
Hapana kesho mh.Rais atazindua chanjo hakuna uongo hapo.Huu ni ushahidi kuwa Watanzania tunadanganywa
Kumbe hata rais kesho anaenda kutuzuga tu!
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.
Source: ITV habari
Mungu ni mwema wakati wote.
Toka juzi yamepita masaa 48...kuchanjwa chanjo kunachukua muda gani ?!!Katoa wapi chanjo wakati aliipokea juzi