Katika mazishi haya Dar. watu hawakula UBECHE, Dodoma ,Zanzibar na Mwanza kote huko watu wamelia bila kula wala kunywa ; sasa watu wanategemea kule nyumbani Chato baada /kabla ya mazisi vinywaji na UBECHE lazima vitembee kama ndio sadaka yenyewe. Hamna mambo ya DONA!!!!