Waziri Faustine Ndugulile atua Chato

Daftari la mchango! Baada ya kusaini kitabı unatakiwa uingize mkono mfukoni!!
WAAMBIE HAWA TUNATAKIWA TULE UBECHE MSIBANI DONEE KILA MTU ATOE MANA DAR HOLA ZANZIBAR MWANZA HOLA CHATO LAZIMA UBECHE UPIGWE
 
Duhhhh...mimi nikajua tu ni minyama huko. Kumbe kuna kutoboka tena? Hapo si ni kuanzia 1k na kuendelea?
Katika mazishi haya Dar. watu hawakula UBECHE, Dodoma ,Zanzibar na Mwanza kote huko watu wamelia bila kula wala kunywa ; sasa watu wanategemea kule nyumbani Chato baada /kabla ya mazisi vinywaji na UBECHE lazima vitembee kama ndio sadaka yenyewe. Hamna mambo ya DONA!!!!
 
Back
Top Bottom