Waziri Dr Mathayo Kumbuka 2015 inakuja!

Oct 12, 2011
50
11
Masikitiko yetu ni kumuonea huruma huyu anaejiita mbunge wa same magharibi jwani toka uchaguzi ulivyoisha jimboni huonekani,umeuza eneo la wazi kwa PANONE shubiri yako inachemka!
 
Huyu mbunge kivuli wa same ni janga kwa wana same, sijui amewapa nini hawa wapare jamani, maana kila mwaka wanamcjagua, na hakuna mabadiliko yoyote hapa same, maji same mjini ni shida na watu wanaona ni kawaida tu kutokuwa na maji. ile ofisi yake pale bomani imeota nyasi, sidhani hata kama kunakatibu pale.
DAVID MATAYO NI JANGA LA SAME
 
Anasubiri mpaka 2014 ndo atarudi tena aje aanze kuwadanganya tena wapare kwa vi ti-shirt na kofia na kanga na wali na mtanchagua tena. CHUKUENI HATUA......
 
Kwa kuwa mlimchagua wenyewe kwa Tshirt na Kofia na Kanga, hangaikeni naye wenyewe...

CDM kila ikiwaletea wakombozi mnawakataa na kukumbatia magamba yenu. Kwanza kijana ameishatajirika hata mkimmwaga 2015 hana cha kupoteza zaidi ya nyie kuvaa gamba lingine kwa vile wapare hamna historia ya kuchagua nje ya CCM

Uhaba wa maji na upepo mkali ni vyenu, hangaikeni navyooo...
 
Anatafuta kuja ku-sweat wakati huo wakati sasa hivi angekuwa anajifanyia mambo bila presha!
 
Yea hizi ndio siasa za bongo na dedicate nyimbo ya mr politician frm nakaya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom