mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Kwa kadri ya macho yangu , huyu ndio waziri mbovu wa wizara hii tangu kuvumbuliwa kwa TanzaniaHivi huyo Bashungwa ilikuaje akapewa hayo mamlaka.!!?
Kapwaya mno.
Sijui ilikuaje!?Kwa kadri ya macho yangu , huyu ndio waziri mbovu wa wizara hii tangu kuvumbuliwa kwa Tanzania
labda kawekwa kama boya tuSijui ilikuaje!?
Hamna anachofanya huyu. Hata kuongea tu hajui.
Kama Mwijage alifutwa kazi kwa kushindwa issue ya korosho, basi na huyo Bashungwa apigwe chini kwa kushindwa kusimamia tatizo la mafuta.Kuna hujuma kwenye mafuta. Nimetembea vituo kibao hakuna mafuta nimekuja kupata Boko magengeni.
Hivi huyo Bashungwa ilikuaje akapewa hayo mamlaka.!!?
Kapwaya mno.
Hao wafanya biashara wa mafuta ni malofa hawajui mafuta hushuka kila uchwao?hi ni kutokana demand kupungua sasa wanataka wahold mpka lini,wafanye biashara waache uzumbukuku,itafika mahala mafuta yatashuka hadi buku kama sio jero kwa lita subiri corona izae vijukuu
Wanatafuta mchawi kumbe Tatizo wanajua ni nani. Tatizo ni magufuliWizara ya viwanda na biashara inahusika na mafuta?? Hebu nielewesheni?
Hayo mambo ni ya Kalemani sio Bashungwa.