Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

A
Mkuu siyo hapa dar tu leo hii nina rafiki yangu yupo mkoani mtwara anasema amekwama wilaya moja ya mkoa huo hakuna kabisa petrol
Asukume tu mpaka afike. Tunakoelekea kuna haja ya kuhifadhi mafuta kwenye mapipa
 
Jana nimetoka na bodaboda mlimani city tukaenda hadi muhimbili kila petrol station hakuna mafuta, nimekuja kupata wakati narudi ile petrol station ya total kabla ya kufika trafic light ya St Peter.
 
Wahusika wamepiga kimya utadhani hawaelewi kinacho endelea na yule waziri kimyaaa yupo kwao karagwe

Nimetoka kanisani Bunju nikaenda sheli ya kilimani mianzini nilikunywa juzi, nikakosa, nikapita lake oil hao wana wiki tatu hawana nikaenda bunju A hakuna nikaenda bunju B wakanielekeza kwa MTU anapima kwa magendo bei 2500 nikayaogopa nikarudi nyumbani faata. Atarehebza JP some I pita aided kazi na dawa imeisha hivyo kesho mzigoni
 
Hao wafanya biashara wa mafuta ni malofa hawajui mafuta hushuka kila uchwao?hi ni kutokana demand kupungua sasa wanataka wahold mpka lini,wafanye biashara waache uzumbukuku,itafika mahala mafuta yatashuka hadi buku kama sio jero kwa lita subiri corona izae vijukuu
Kula kulala sebuleni kwa dada ni tabu sana. Hujui hata bei ya mkate mdogo leo unaongelea soko la mafuta!? Kweli? Ati wafanyabiashara wa mafuta ni malofa! Daah?
 
Mlivyoambiwa na kingunge kuwa Magufuli hakufaa kuwa Raisi bali nyapara ndo muelewe sasa. Tanzania tunarudi tena kipindi cha Nyerere cha bidhaa kuanza kuadimika. Huyo jamaa yenu kafeli kwenye uchumi na anachojua ni kutumia manguvu na si akili.

Huu ndo wakati wa watanzania kufunguka kiakili na kuwapa uongozi wa hii nchi Chadema. Hakuna sehemu duniani vyama vya kijamaa viliwai kufanikiwa. Never
Hizi ni hujuma tu, hamna lolote, hii syndicate tutaisambaratisha
 
Leo nimepita Mwanza mjini kuna uhaba mkubwa wa petrol na mida hii naingia musoma mjini ,petrol hakuna,au ndiyo faida ya kuwa uchumi wa kati?
 
Nimetoka kanisani Bunju nikaenda sheli ya kilimani mianzini nilikunywa juzi, nikakosa, nikapita lake oil hao wana wiki tatu hawana nikaenda bunju A hakuna nikaenda bunju B wakanielekeza kwa MTU anapima kwa magendo bei 2500 nikayaogopa nikarudi nyumbani faata. Atarehebza JP some I pita aided kazi na dawa imeisha hivyo kesho mzigoni
Hatari sana mkuu, naona sasa tunaandaliwa kutumia petrol station za sirikali.
 
Tatizo sio wamiliki wa vituo vya mafuta.ishu iko kwa waagizaji kutoka nje.bei iliyopo sokoni ni tofauti na waliyochukulia kwenye solo LA dunia .ndio maana serikali imekaa kimya katika hilo.pia bei ya mafuta itapanda zaidi
Drop in petroleum demand led to rise in crude oil inventories and low refinery utilization - Today in Energy - U.S. Energy Information Administration (EIA)

Soma hiyo article ☝‘middle stream’ business are struggling too.

Pamoja na kushuka kwa bei ya mafuta duniani watu wana stock level ambazo azisogei, isitoshe kutokana na demand ndogo gharama za uendeshaji zinakuwa kubwa (operation costs) kiasi kwamba ni ngumu kwa refineries kushusha bei kwa suppliers.

Kama refineries ajashusha bei, supplier wanao nunua kwao watashushaje bei kwa retailers na retailers nao watashushaje bei kwa walaji.

Wakati huko EWURA keshapanga bei zake. Si atakuwa anataka kuwapa watu wote hao hasara kwenye supply chain. Kibaya zaidi EWURA hawana influence kwenye mid stream maana Tanzania hatuna.

Sisemi icho ndio kiini cha tatizo inabidi vyombo vya habari vichunguze nini hasa ni tatizo sio kusikiliza upande mmoja.
 
Hii ndiyo sababu ninaunga mkono mpango wa serikali kuja na vituo vyake vya mafuta ili uchumi usiwe unayumbishwa yumbishwa na watu kadhaa tu wanaomiliki vituo vya mafuta. Ikiwa vituo vya serikali vitakuwa na mtandao mpana kama walivyopanga, bila kujalisha kiwango cha huduma, huu upuuzi haitakuwepo.
 
Drop in petroleum demand led to rise in crude oil inventories and low refinery utilization - Today in Energy - U.S. Energy Information Administration (EIA)

Soma hiyo article ☝‘middle stream’ business are struggling too.

Pamoja na kushuka kwa bei ya mafuta duniani watu wana stock level ambazo azisogei, isitoshe kutokana na demand ndogo gharama za uendeshaji zinakuwa kubwa (operation costs) kiasi kwamba ni ngumu kwa refineries kushusha bei kwa suppliers.

Kama refineries ajashusha bei, supplier wanao nunua kwao watashushaje bei kwa retailers na retailers nao watashushaje bei kwa walaji.

Wakati huko EWURA keshapanga bei zake. Si atakuwa anataka kuwapa watu wote hao hasara kwenye supply chain. Kibaya zaidi EWURA hawana influence kwenye mid stream maana Tanzania hatuna.

Sisemi icho ndio kiini cha tatizo inabidi vyombo vya habari vichunguze nini hasa ni tatizo sio kusikiliza upande mmoja.
Hili somo ndilo tunatakiwa tupewe, kwanza tulishazoea mafutab ya 2200 hawa wakapunguza mpaka 1500 tukiwa 2200 haya matatizo hayakuwepo basis bora turudi kama zamani lakini tuyapate, mafuta hatuchimbi wenyewe hatuwezi jipangia huo ndio ukweli. Lakini mbona kituo cha boko magengeni hayajawahi kuisha? Wanayapata wapo?
 
TPDC si wameshaanzisha vituo vyao. Inabidi mjaze huko,naona wameamua kuwakomoa wengine ili wao wafanye biashara.
 
1596447164989.png

Saudi Arabia May Be Forced To Cut Oil Prices Once Again | OilPrice.com

After three consecutive months of raising its crude oil prices, the world’s largest oil exporter, Saudi Arabia, is widely expected to make the first cut to its official selling prices (OSPs) since the OPEC+ group started their record production cuts to prop up the market and prices amid crashing demand. Oil refiners and traders in Asia largely expect the Saudi oil giant Aramco to cut the price of its crude oil going to Asia in September as faltering oil demand recovery is depressing refining margins and weakening the Middle East oil benchmarks against which the producers in the Gulf set their prices for Asia.

According to a Reuters survey of five Asian refiners, the industry expects Saudi Arabia to cut the price of its flagship Arab Light crude grade to Asia for September by an average of US$0.61 per barrel.

A Bloomberg survey of eight Asian traders and refiners showed similar expectations, with a median forecast of a cut of US$0.48 a barrel.

This would mean that Saudi crude Arab Light loading for Asia in September could be priced at a premium of US$0.72 a barrel over the Dubai/Oman benchmark, down from the premium of US$1.20 per barrel for the August loadings, which Saudi Aramco announced in early July in the third hike of its crude prices in three months.

While the Saudi price hikes in the past three months signaled oil demand recovering and Middle East Dubai/Oman benchmarks strengthening as supply grew tighter after the OPEC+ cuts, the expectations of lower Saudi prices going forward is a sign that demand recovery is stumbling and dragging the Middle East benchmarks and refining margins down.

Related: Oil Market Contango Returns In A Sign Of New GlutThe pricing of Saudi crude, typically released around the fifth of each month, generally sets the trend for the pricing for Asia of other Gulf oil producers such as Kuwait, Iraq, and Iran. The pricing of Saudi Aramco affects as much as 12 million barrels per day (bpd) of Middle Eastern crude grades going to Asia.

The Saudi crude pricing is also a telltale sign of demand for its crude and of the market fundamentals and refining margins across regions.

The first reduction of Saudi oil prices in four months – if Aramco matches refiners and traders’ expectations – will be yet another signal that oil demand recovery is slower than anticipated just a month ago.

There are already signs that demand is faltering and another glut is imminent. The Dubai market structure flipped again in late July into contango—the situation in which front-month prices are lower than prices in future months, pointing to a crude oil oversupply. Over the past week, the Brent Crude futures curve has also flipped to contango as sluggish demand and returning production from the U.S. and OPEC+ weigh on market sentiment.

Refining margins across Asia, especially for jet fuel and gasoline, are weakening because of stalling demand. Chinese exports of fuel are also weighing on regional margins.

Related: Ocasio-Cortez Could Deal A Fatal Blow To U.S. Oil Pipelines

Refiners in India, for example, are now cutting processing rates because fuel demand – up from the lows in April and May – has slowed this month as fuel prices are higher and parts of India are again under local lockdowns, while the monsoon rain season is also stalling economic activity and transport, officials at refineries told Reuters this week.
 
Attachments

  • 1596447131842.png
    1596447131842.png
    67.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom