Waziri Bashe ni mashine ya Rais Samia Suluhu

Waziri Bashe ni mashine ya Rais Samia Suluhu

Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
This sounds like a stupid poem! Why all these?
Bashe is nothing. Tuna tabia ya kusifu mtu kwa hotuba au paragraph moja tu. Huyu yuko pamoja na mafisadi kama kawa! Tusidanganyane sasa hivi kwa kujidai kuzungumza kwa kelele na kiingereza feki, I mean cha hovyo!

Ktk hotuba ya bajeti yake ukiwa siyo mtaalamu, unaweza kusema anafanya vizuri lakini kwa wataalaamu ni bure tu! Anajidai kuwasemea wakulima wa nchi hii kwa kusema yanayofahamika, lakini mipango ya wizara yake yote inalenga ufisadi wa pesa ya serikali. Ndo maana anawaza kuanzisha benki ya ushirika wakati hakuna benki ya ushirika iliyofanikiwa nchi hii kutokana na ufisadi. Angalia pikipiki za maafisa ugani, unajua zimenunuliwa kwa bei gani? Find out then utajua nini alichokilenga.
 
Hapo kaongelea specific kampuni moja leo kaongelea kwa kijumla hakuna sehemu kasema mbole haijapanda duniani kaitaja kampuni moja pekee iliyofanya uhuni huo kwa wakati huo lazima tutofautishe suala la mmoja mmoja na suala la kijumla.
Kaongelea kampuni moja? Hiyo bei ni ya nchi nzima na hao ETG ni wasambazaji wa mbolea nchi nzima.
Pamoja na hayo bei badi haikushuka. Hopeless kabisa
 
Wewe unachuki zako binafsi ukiona mtu anaanza kutumia lugha mbaya ujuwe hana hoja sasa umeambiwa kama una source ya mbole rahisi si upeleke offer upewe contract? Kuna shida weka solution

Source ya mbolea rahisi ili nipewe contract? Kwani mfumo wa uagizaji pamoja mbolea bado unaendelea?
 
Show me your friends and I will tell who you are. Tunachofahamu Bashe mkubwa wake ni Rostam Azziz! Rostam hana niya njema na nchi hii. Ni kama alivyowaingiza akina Ngereja na kuwatumia kufisadi wizara ya Nishati miaka ile.
 
Hakuna Mtu mwenye mapenzi mema kwa Tanzania kama Rostam Aziz Igunga ilikuwa jangwa la kutisha lakini leo Mabwawa kila mahali.
 
Kati ya vitu rubbish na unreseached ni uuzaji wa mazao kikomministi, bila kuweka soko huru. Unalazimisha mkulima amuuzie fulani kwa mtindo fulani.
Mkulima analazimishwa atake asitake
 
Bashe ajikite kutafuta investors kwenye kilimo cha umwagiliaji, akitegemea waswahili itakula kwake..

Bora achukue wataalamu wakajifunze kwa Nchi zinazofanya vizuri kwenye irrigation Ili waje na utaalamu unaotakiwa.

Mwisho ,Bora afanye miradi michache yenye tija kuliko kufanya siasa za kufurahisha kila mahala pesa zote zikaishia ardhini.
Waende Israel wataifunza kila kitu kwenye umwagiliaji.
 
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Realy namkubali ila ameshindwa kugeuza uelewa wake wa mambo kubadilisha mwelekeo wa kilimo wa nchi hii mambo bado ni yaleyale masoko hakuna pembejeo mbolea na madawa ni ghali mnoo we want changes kwenye maisha ya wakulima wa nchi hii siyo hadithi
 
Hivi unaelewa usanii unaondelea kwenye sekta ya kilimo au umeamua kuwadharau Watanzania kwa kuleta hizi dhihaka za kusifiana?

Mbolea mfuko wa kilo 20 ni laki nusu, mwaka jana ilikuwa haizidi elfu 50. Wizi mtupu.
Wee kilo 20 mbolea gani hiyo MKUU?
 
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Tatizo lake moja tu nywele za kisomali but alifaa sana kuwa waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom