Waziri Bashe ni mashine ya Rais Samia Suluhu

Waziri Bashe ni mashine ya Rais Samia Suluhu

Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Very good comment on him, he is a good orator, je atapewa resourses anazohitaji katika mapinduzi hayo ya kilimo? Je consistency ya serikali itakuwepo? kuleta realy mapinduzi ya kilimo inahitaji muda, investment, commitment and consistency laa itakuja zile slogans za kilimo kwanza, kilimo ni utu wa mgongo wa Taifa and so on akumbuke pia huko nyuma waliopita walijenga mashamba makubwa ya umwagiliaji mfano Kapunga rice farm and so on tulikosea wapi hata kuayaendesha? Big up to Bashe wazo zuri ila ni ngumu utekelezaji wake kwa nchi hii. Nchi nyingi especially za Kwetu Africa zinashindwa kuandaa plans and kuzitekeleza. Tafakari.
 
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Kumbuleni bashe si mwafrica ana damu ya kisomari...atamsaidia sana mama

Sisi waswahili wabantu ni kama kina kibandaa ; unawakandia CDM afu kesho yake mzinga kwa maza.
 
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Anaweza akawa smart, visionary na mwenye malengo makubwa ya kuinua sekta ya kilimo. Tatizo kubwa linabaki:-

i. Wote waliomzunguka wanamuelewa? Kwasababu hana hatimiliki na hiyo wizara unaweza kuamka unakuta mabadiliko halafu mipango yote ikawa imeishia hapo. Kwa Tanzania hili si la ajabu

ii. Uwekezaji mara nyingi matokeo yake hayaonekani kwa muda mfupi, wananchi wanaelewa hili? Viongozi waliomuweka madarakani wanalitambua hili??



ii
 
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Watanzania hawataki Mashine au Engine wanachotaka Pembejeo Bei ishuke Wataka Masoko ya Mazao yao Wanataka Bei nzuri ya Mazao yao Watanzania wanataka Bei nafuu kusafirisha mazao yao Watanzania Wanataka MVUA Watanzania Wanataka Kilimo cha Kisasa Sio cha Jembe la Mkono Miaka 60 ya Uhuru

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hivi unaelewa usanii unaondelea kwenye sekta ya kilimo au umeamua kuwadharau Watanzania kwa kuleta hizi dhihaka za kusifiana? Mbolea mfuko wa kilo 20 ni laki nusu, mwaka jana ilikuwa haizidi elfu 50. Wizi mtupu.
Historia kawafundishe wanao huko uswekeni. Mambo ya mwaka juzi sijui jana hayana nafasi leo.
 
Yupo vizuri ila awe makini waswahili sio watu wa kuwaamini. Hasa hiyo miradi ya magodown, mikopo ya kilimo, amcos na pesa ya umwagiliaji watu watalamba pesa zote asojipanga. Ajipange!


Pesa iende kwenye umwagiliaji wa mashamba makubwa kwa mbinu za kisasa. Maana siku hizi mvua ni changamoto mno.
 
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Bashe ni waziri mzuri katika serikali mbovu; kwa hiyo juhudi zake zote zitaishia ukingoni.
 
Ni kweli ni fighter tunaomba acheck na bei ya mbolea ikiwezekana ishuke au awake mikakti ya kujenga viwanda vya mbole hapa nchini ili kuwapunguzia wakulima mzigo miaka ijayo hapo atakuwa ameweka legacy la sivyo mambo yatakuwa ni yale yale.
 
Bashe ni real fighter ... Ndo Wazir pekee anayepambana
Msimsahau na Aweso jamani! Jamaa naye anapambana! Hawa ndio mawaziri vijana bora kabisa katika baraza la Bi. Mkora! Makamba na Mwigulu wana ya kujifunza kwa hawa vijana!
 
Tatizo la wataalamu wetu wanafikiri irrigation inakausha mito wakati Egyptians wametumia umwagiliaji tangu enzi za Farao

Sasa ni mda wa Waziri kupeleka vijana hata 100 Egypt kama ulivyoshauri kutuma vijana nje wakajifunze system hiyo
Tanzania kuna vijana wanapenda Kilimo?
 
I bet ukimuuliza Somalia ina mawaziri wangapi hajui believe that

Tatizo letu ubaguzi na tukijitenga hata usukani hatuwezi kutengeneza

Bashe ana uzalendo kuliko wengi na huko Somalia sidhani kama amewahi kupaona
Ila mimi nimeogelea mpaka beach ya huko Lido
Pinga ubaguzi
Bashe jamani ni Mtanzania mwenzetu wala Somalia haijui kabisa. Ni Msukuma/Mnyamwezi wa hapa Nzega. Hawa ndio walikuwa viongozi wa UVCCM inayojitambua siyo hii mitakataka ya sasa hivi!
 
Hivi unaelewa usanii unaondelea kwenye sekta ya kilimo au umeamua kuwadharau Watanzania kwa kuleta hizi dhihaka za kusifiana?

Mbolea mfuko wa kilo 20 ni laki nusu, mwaka jana ilikuwa haizidi elfu 50. Wizi mtupu.

Mwaka jana ukiwa 50000 hiyo mbolea ilikuwa inatoka wapi?
Ulikuwa unazalisha mbolea au unaagiza? Huko ulipokuwa unaagiza bei sahivi ipoje?
Jifunze kabla ya kulaumu.
 
Kwani mzee makamba anasemaje kuhusu Bashe?
 
Back
Top Bottom