PreGE2025 Waziri Aweso apanda na Suti yake kwenye Tenki kukagua mradi wa Maji Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.

IMG_4007.jpeg
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.

IMG_4008.jpeg
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.

Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.

Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
 
Cha ajabu ni suti? Waziri kupanda? Au waziri kupanda na suti? Au tenki? Au waziri kupanda kwenye tenki? Au waziri kupanda na suti kwenye tenki?

Title ya taarifa ingefaa ifanyiwe marekebisho waandishi wamepungukiwa weledi wa kuripoti...!
 
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.

View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.

Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.

Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
Utakuwa muchepuko umekuya kusifia
 
Ulitaka apande na suti ya nani
 
Ndo huyo huyo aliyewadanganya watu maeneo ya mbezi-madale kule....msafara mreeeeefu kama maneno yake, jiiiiii!
 
Ndio wakati wenyewe wa sarakasi huu.

Zote zitapita lakini hakuna iliyowahi kunichekesha kuzidi Mama Salma alipoacha V8 na kutumia miguu kuwafikia wanakijiji na ile ya Nape na Kinana kuchuma chai na wananchi.
 
AWEZO NI TAPELI NA MWIZI MKUBWA. WIZARA HAIJAWAHI KUPATA WAZIR WA OVYO KM HUYU TANGU UHURU. NI VL WATZ NI WAVIVU WA KUFIKIRI WANAOENDESHWA KWA MEDIA UVHWARA
Anapeleka fedha kwenye RUWASA anaclaim back 50M+
 
Back
Top Bottom