kabwigwa
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 933
- 1,533
Nimepata habari kuwa Profesa Simon Mbilinyi amefariki dunia hospitali ya Agakhan. Marehemu aliwahi kuwa Waziri enzi za Mkapa kisha akajiuzulu.
Amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na pia amewahi kuwa Balozi Ubelgiji na Lexambourg kuanzia mwaka 1985 - 1989 alipokuja kubwagwa na Jenista Mhagama.
Profesa Simon Mbilinyi enzi za uhai wake akiwa na Mkewe Profesa Marjorie Mbilinyi
RIP Prof Mbilinyi.
Pia soma