Waziri Asiye na Wizara Maalum..teh! teh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Asiye na Wizara Maalum..teh! teh!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdau, Nov 1, 2009.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2009
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180

  wadau nimeamua niwakumbushe zile enzi za waziri asiye na wizara maalum....mimi nilikua bado mdogo, hivyo sina kumbumbuku kamili za majukumu yake kwa kweli...ila kuna wadau wanadai eti ni kama anayofanya JK kwa sasa......eti ziara zake zimezidi, hadi inafikia hatua mhandisi wa maji Mbeya anatetemeka na kumuadress kwa jina la waziri...teh!teh!
   
 2. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  tetetetete hahahahahahaha
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ah! alikosea sana
   
Loading...