pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
So baada ya kumpiga ndio wangepata soko la pamba! or? wajinga tu.
Hivi unajua adha wanayopata wakulima we mwenda wazimu? tasa wa akili!!!
So baada ya kumpiga ndio wangepata soko la pamba! or? wajinga tu.
CCM wana hali mbaya sana,wamakonde wame ikataa ccm,wasukuma nao ndio hao wame anza,waha,wachaga,wameru,wanyaki,wahehe,wasingida,nao hawa itaki daah 2015 ccm chaliii.
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amenusurika kupokea kichapo toka kwa wakulima wa pamba mkoani Shinyanga[?] . Kadhia hiyo ilifuatia majibu yasiyoridhisha ya Zambi kwa wakulima hao juu ya pembejeo na masoko ya pamba.
Chanzo: Mtanzania