Waziri anusurika kipigo

Waziri anusurika kipigo

Namsubiri mwigulu atue huku niliko, hakyamungu lazima angalau aonje machungu ya kumvungi dk.sengondo.
 
Wale Polisi waliomnusuru Mzee Slaa na kipigo kutoka kwa wanakigoma, hawakuwepo huko?
 
Kwa nini hawwakumpiga mawe huyo mafhambi?

Apigwe tu..
 
Wapigwe tu! Tumechoshwa na majibu yao yaliyojaa kiburi.
 
Piga. Ng'oa kucha& jino.
Toboa jicho. Akiwa mbishi uwa
 
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amenusurika kupokea kichapo toka kwa wakulima wa pamba mkoani Shinyanga[?] . Kadhia hiyo ilifuatia majibu yasiyoridhisha ya Zambi kwa wakulima hao juu ya pembejeo na masoko ya pamba.

Chanzo: Mtanzania

CCM wana hali mbaya sana,wamakonde wame ikataa ccm,wasukuma nao ndio hao wame anza,waha,wachaga,wameru,wanyaki,wahehe,wasingida,nao hawa itaki daah 2015 ccm chaliii.
 
... Huyo Hawez Kupgwa Ni Chaguo La Watu, Na Saut Ya Watu Ni Sauti Ya Mungu

Teh teh teh umesahau kule Arusha nini? Padri mzinzi alichezea kichapo ye na HAWARA yake afu Lema akaingia mitini, ha ha ha ha humuoni kikono kile kawa kilema kabisa ila sasa hivi katulia akileta za kuleta wanakata mkono kabisa


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom