Waziri anusurika kipigo

Waziri anusurika kipigo

Angewasiliana na Shibuta kwanza....teh teh!!!
 
... Watapigwa Tu, Kauli Inaanza Kuwageukia. Malipo Huwa Ni Hapa Hapa Duniani
 
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amenusurika kupokea kichapo toka kwa wakulima wa pamba mkoani Shinyanga[?] . Kadhia hiyo ilifuatia majibu yasiyoridhisha ya Zambi kwa wakulima hao juu ya pembejeo na masoko ya pamba.

Chanzo: Mtanzania
Na wapigwe tu maana tumechoka sasa.
 
hiyo ni salaam kwa wana CCM anaejijua poyoyo hasikanyage huku na maneno yenu ya kanga huko huko DAR
 
niwe mkweli toka moyoni, CCM kwa kukataa Tanganyika nimepoteza UZALENDO na IMANI kabisaa.

Hata wakifa sawa tu
 
Tukiwapiga au kuwachukulia hatua nchi itayumba....tuwaache waendelee na kazi yao
 
shinyanga ni eneo hatari sana kwa magamba , wawe waangalifu sana .
 
Namsubiri sana Pro Muhongo siku atakayoenda Mtwara na kuhutubia mkutano wa hadhara na kutoa yale majibu yake.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amenusurika kupokea kichapo toka kwa wakulima wa pamba mkoani Shinyanga[?] . Kadhia hiyo ilifuatia majibu yasiyoridhisha ya Zambi kwa wakulima hao juu ya pembejeo na masoko ya pamba.

Chanzo: Mtanzania

Chama cha mizigo !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom