Waziri anaweza kukomesha utekaji?

Waziri anaweza kukomesha utekaji?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,843
Mheshimiwa Mpina amemlenga huyu huyu Waziri au yule Waziri mwingine?

Janga la utekaji nchini ni likesababishwa na uzembe wa Wizara ya Mambo ya Ndani au Uamuzi wa "wakubwa"?

Utekaji ungekuwepo kama "wakubwa" wasingeuhitaji?

Nahisi Mheshimiwa hamsemi "huyu" Waziri bali "yule" Waziri!
 
Katika hilo baraza zima la Mawaziri, wale wanaoweza kufanya maamuzi kama Mawaziri kwa uwezo wao hawafiki wanne, wengine wote wanakalia tu zile nafasi ila kiuhalisia hizo wizara ni projects za watu na utaiendesha wizara kwa maelekezo yao.

Kwa kifupi kuna kuwa na watu msio waona ndiyo hukabidhiwa either Wizara, taasisi balozi au mikoa. Hao ndiyo huamua nani aletwe kukalia ofisi.

Urais ni taasisi na project kubwa sana.
 
Hakuna anayeweza kukomesha maana mfumo ndio umesababisha yote hayo
Ninachoelewa:
1. Kuna mtengeneza/ msuka mfumo. Yeye anaweza asifungwe na mfumo
2. Kuna wanaoendeshwa na mfumo. Hao hawana ujanja isipokuwa kutii maelekezo/matakwa ya mfumo.

Nani msuka mfumo na ni nani muendeshwa na mfumo?
 
Back
Top Bottom