kwa hiyo hapo halimi????
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo.
Pinda ana unafki kutoka moyoni, namshangaa kila anapo jiliza bungeni kumbe hakuna kitu!
halafu ajabu yenyewe, eti anafundisha jinsi ya kupalilia katika shamba ambalo linaonekana limeshapaliliwa tayari.hapo analima nini sasa........nadhani alikuwa anamalizia kale kakipande kake ka muvi ya mtoto wa mkulima tu
alienda kulima au kutembea?
Sijamsikia mda mrefu kumbe yupo nyumbani ndio maana
Analima au anawaelekeza?
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012 eneo la Tenki fupi kata ya Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Bi. Kipande ni mfanyakazi katika shamba hilo. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
source maasinda
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Off point!
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012 eneo la Tenki fupi kata ya Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Bi. Kipande ni mfanyakazi katika shamba hilo. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
hivi pinda ni waziri mkuu wa tanzania au wa rukwa na katavi tu? mwezi mmoja hauwezi pita bila yeye kutembelea mikoa hiyo. binafsi sijawahi kusikia ametembelea lindi au mtwara