Waziri ameliongopea bunge -gidabudai

Waziri ameliongopea bunge -gidabudai

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
Mda huu ameongea kupitia kipindi cha michezo cha clouds Fm kwamba Naibu Wazir wa michezo ameliongopea bunge kwamba alimpigia simu na yeye kukikir kuwa kauli yake kwamba Tz ikirudi na medali olimpic yeye atachana vyeti vyake.Amesema ni kweli yeye alipigiwa simu na Naibu Wazir lakin si kweli kwamba alimwambia alichosema kuhusu timu ya olimpic ni uongo.Amemtaka F.BAYI kusema bye bye kwan kutokana na updates zilizopo mshirk mmoja wa Olympic kutoka Tanzania ameshindwa kushirik kutokana na kuugua malaria sababu kambi ya timu huko London haina daktari..I"ll be back.
 
Back
Top Bottom