Waziri aliyehukumiwa adhabu ya kufagia kwa makosa ya ufisadi alishamaliza ile adhabu?

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
3,517
3,133
Wadau naomba kuuliza Hivi yule waziri alihukumiza kwa ufisadi mkubwa ile adhabu ya kufagia hospitali ya sinza bado anaendelea nayo au alishamaliza??
 
Nakumbuka alibadilishiwa adhabu ya kufagia na kufanywa kuwa mshauri wa utawala katika ile hospitali
 
Back
Top Bottom