Ni vema ukaweka kama ni tetesi.
Ndg wakuu,kuna taarifa mtaani kuwa waziri mmoja katika serikali ya kikwete aliekuwa amelazwa kwa ugonjwa Afrika kusini,hatimae ametangulia mbele za haki.
Naomba mwenye habar kamili atujuze.
Kama huna uhakika usipost uz sawa,shenz type
Aroooo!Kama huna uhakika usipost uz sawa,shenz type
Sio vizuri kuzushia vifo watu