Waziri afariki dunia

Waziri afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Baraza linafistura ya vifo khaa kama ni kweli lakin
 
Ndg wdau,kuna tetes mitaan kuwa waziri m1 katika serikal ya kikwete ambae alikuwa amelazwa Afrika kusini kwa matibabu,hatimae katangulia mbele za haki.
Mwenye taarifa kamili atupe.

Thread mavi ndio hizi.
 
Ndg wdau,kuna tetes mitaan
kuwa waziri m1 katika serikal ya kikwete ambae alikuwa amelazwa Afrika
kusini kwa matibabu,hatimae katangulia mbele za haki.
Mwenye taarifa kamili atupe.

Pimbi! Nani akupe taarifa wakati taarifa umeleta weye?
 
Kuna baadhi ya Wachungaji maarufu hapa Bongo walisema mwaka hauishi kuna kiongozi mmoja mkubwa atafariki dunia na atu watapigwa na mstuko...EF...ta nadhani
 
ndugu mleta mada, kwa jinsi ninavyoijua jf sidhani kama kuna haja ya kuomba habari, kama kuna ishu utaijua tu bila hata kuuliza.
 
iendelee kuwa tetesi maana yataleta mengi ya hovyo hovyo,
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom