Wazinzi kazi kwenu

Wazinzi kazi kwenu

Mrukus

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
396
Reaction score
192
Habari kutoka MSD Tanzania: wanawajulisha wateja wao wa salama kondom kuwa, sasa unaweza kujipatia kondom yenye jina lako na yule umpendae...
 
Hahahaa hii kali sijacheka siku nzima leo hii imeniondolea stress
 
Hahaha now that's some thinking man. Props to you player. Abstain or rubber-up.
 
Wenye UMARIDADI Wa Kuuza Mechi Hii HAITUHUSU Sana Na Ni Kama Vile Wanampigia Tu Mbuzi Gitaa. Mambo Yote Ni " Minyama Ndani Minyama Nje ".
 
Loh.shdaaa embu wasubiri tuteud.mzee wa matumaini kwanza
 
ha ha ha ha ha....

Ahsante nimecheka asubuhi.
 
Umenichekesha sana. Hapo kuna umuhimu wa kujisajili labda
 
Matangazo ya condom zenye majina yawe wazi kama yale ya soda ya co..la. duu wakina.....ndo pakti zao zitauzika sana. Sasa ole wako uitwe....alafu mkeo asikie nyie ndo wateja wazuri kuliko majina mengine.....ni sheeedah!
 
Nilikuwa na stress hapa lakini nimecheka sana
 
Back
Top Bottom