Wazinzi adhabu yao ni kifo.

Wazinzi adhabu yao ni kifo.

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Ukisoma kile kitabu cha Walawi 20:10-16 utaona mwanaume akilala na mke wa jirani yake lazima wote wauawe, mwanaume akilala na mke wa baba yake, akilala na mnyama, akilala na mwanaume mwenzie kama mkewe, mwanaume akilala na mke wa mwanae, mwanaume akimwoa mke na pia kumwoa mama yake wote watatu ni lazima wateketezwe.

Kwa kifupi hiki kitabu kinaongelea machukizo yote asiyoyataka MUNGU kama uzinzi, kutembea na wake za watu yani adhabu zao zote ni kifo. Kuna mstari anasema mwanaume akizini na mke (Kufumaniwa kwa lugha ya sasa) wa mtu wote ni lazima wauawe, lazima wapigwe mawe hadi kufa.
Hii inadhihirisha ni jinsi gani MUNGU anavyochukia uzinzi.

Haijalishi hata jambo hilo ulifananye kwa siri kama alivyofanya mfalme Daudi (1 Samuel 12:12) MUNGU ataliweka wazi hadharani jambo lako and the results are deaths obvious.
Wagalatia 6:7 MUNGU hadhihakiwi mungu ameunda mioyo ya watu wote na anajua yote muwazayo.
 
Hakuna Mungu nyie mnaibiwa
 
Hiki kitabu na vifungu ulivyovisoma havikidhi haki za binadamu inabidi vifanyiwe reform kwa mazingira ya sasa kuepusha maangamizi kwenye jamii!
 
Watu wanaokaa kushauri watu kwa vifungu vya Biblia ni wahuni sana.

Hebu acha kila mtu apite njia yake, wakati anachomwa moto atakuwa anaumia mwenyewe.

Acheni unafiki kuhurumia watu.
 
Ukisoma kile kitabu cha Walawi 20:10-16 utaona mwanaume akilala na mke wa jirani yake lazima wote wauawe, mwanaume akilala na mke wa baba yake, akilala na mnyama, akilala na mwanaume mwenzie kama mkewe, mwanaume akilala na mke wa mwanae, mwanaume akimwoa mke na pia kumwoa mama yake wote watatu ni lazima wateketezwe.

Kwa kifupi hiki kitabu kinaongelea machukizo yote asiyoyataka MUNGU kama uzinzi, kutembea na wake za watu yani adhabu zao zote ni kifo. Kuna mstari anasema mwanaume akizini na mke (Kufumaniwa kwa lugha ya sasa) wa mtu wote ni lazima wauawe, lazima wapigwe mawe hadi kufa.
Hii inadhihirisha ni jinsi gani MUNGU anavyochukia uzinzi.

Haijalishi hata jambo hilo ulifananye kwa siri kama alivyofanya mfalme Daudi (1 Samuel 12:12) MUNGU ataliweka wazi hadharani jambo lako and the results are deaths obvious.
Wagalatia 6:7 MUNGU hadhihakiwi mungu ameunda mioyo ya watu wote na anajua yote muwazayo.
Wale ambao hawazin, hawata kufa?????????
 
Hakuna asie kufa ila kufa kwa uzinzi ni ujinga.
Bora ufe kwa mengine sio kitu unachopigiwa nacho kelele kila kukicha.
It hurts.
 
Hakuna Mungu nyie mnaibiwa
Wengi husema hivyo ila yakiwakuta ndio hujua mbivu na mbichi.
Akitaka kuchukua uhai wako ndio utajua kama yupo au hayupo sio hilo tuu yapo mengi atakayokufanyia atakayitaka.
 
Watu wanaokaa kushauri watu kwa vifungu vya Biblia ni wahuni sana.

Hebu acha kila mtu apite njia yake, wakati anachomwa moto atakuwa anaumia mwenyewe.

Acheni unafiki kuhurumia watu.
Sidhani kama kuna anaehurumiwa hapa kila mtu ana maamuzi yake pia hakuna alielazimishwa kuchangia hapa bali ni maamuzi yake kama ulivyokomenti kile unachokiamini hapa.
Mwenye kusia na asikie full stop.
 
Acheni kujidai washauri wa watu.
 
wake za watu wananisumbua wenyewe eti kisa nawaridhisha ngoja niache kuwapa huduma bora
Unawardhisha? kwa maana nyingine umeshatembea na wake za watu tena Zaidi ya mmoja?
Sasa wewe utalipa yote hayo ukioa watu watakufanyia hivyo hivyo.
 
kwahiyo wanaokufa wote wazinzi na waliohai wote mpaka uzeeni sio wazinzi, na nikimkamua dadaangu napigwa mawe sijui na nani ,najua vyote ni dhambi ila hizo adhabu ni zilizotajwa kwa sasa ni ujinga maana hazitekelezeki ,maana watataktifu wanakufa kila siku na wazinzi tunawaona
 
Back
Top Bottom