Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Hizi ni sawa na barua za posa ila malengo ni tofauti!Posa dhamira inakuwepo ya kuvuta jiko lakini hizi barua tom... ni kwa ajili ya kukidhi haja tu ya kipindi fulani!
Nakumbuka niliwahi kumsindikiza rafiki yangu kupeleka barua ya namna hii,mzee mwenye binti akatutoa nduki baada ya kushtukia ni barua tom.... na wala si posa!
Hizi barua msimu wake huwa ikikaribia ramadhani,sasa vijana wengi wanatafuta uhalali wa kula vitu kipindi hicho!