Wazigua na Wadigo Mpo?

Wazigua na Wadigo Mpo?

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
759
Napenda kuwatambua wote,kuna part tutaifanya Tanga siku si nyingi sana.
 
Huyu mleta mada kakimbia kule jukwaa la teknolojia kwa kuwahadaa sema tatizo la simu iliatoe ufumbuzi kumbe mbabaishaji tu.
 
Nimeathirika kisaikolijia, nikisikia wadigo kiuno kinazunguruka chenyewe. Sijawahi kufika Tanga!
 
Hili jambo ni la kulipiga vita kwa nguvu zote,UKABILA live.
 
Back
Top Bottom