Wazee wenzangu tunaodaiwa tupeane changamoto

bBusneM

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
288
571
Habari wakuu
Moja Kwa moja kwenye mada kudaiwa sio kosa kabisa kuna muda unajiona kama umefanya makosa vile kokopa

Kwa upande wangu nadaiwa hadi sio vizuri lakini sio maksudi wakuu kila nikikopa na kuamua kufanyia mission flani basi huwa ina feli na jinsi ya kulipa inakua shida kidogo ingawa kwa hali zote huwa najitahidi kulipa.

Kuna jamaa yangu alinikopesha million moja nifanye biashara daah biashara ikafa sikumwambia ukweli ila yeye alijua inaenda poa sababu tulikua mbalimbali basi bwana nikamwambia aongeze millioni tena jamaa huyo ile nakaribia kupiga faida mission ikafa nikapoteza zote jamaa kuja kujua nikamwambia takulipa tu alimaind lakini ndio hivo paka leo miaka kadhaa imepita sijamlipa bado ila nakumbuka na Mungu akipenda tamlipa tu

Kuna Mwana ile amepata kazi mi sijapata nikamkopa laki tano paka leo bado sijamlipa

Kuna dingi yangu mkubwa alipokua anastafu nikamkopa millioni 5 nikaingia shamba ilitokea dhahama huko sikupata hata mia paka leo mzee ananidai lakini ndio hivo tena namlipa maneno th

Kuna mshikaji wangu pia alikuta kibishara flani nafanya kilikua kinaonekana kina future nzuri sasa bwana akasema aweke pesa nae si akaweka million 5 baada ya miezi kadhaa daah likaja janga mzee tukapoteza pesa yote japo hajanidai ila namuona hayuko poa

Kuna kipindi mzee aliumwa basi nikamuuguza kipindi kirefu hadi pesa ikaisha basi nikampiga mwana mkopo akaniazima millioni 3 daah paka leo sijamlipa

Kuna dogo nae alinikopesha millioni moja na nusu ninunue viazi mviringo ile nimenunua tu nimepakia kwenye gari daah gari njiani likapata hitirafu kufika mabibo nilitegemea gunia lianzie elfu 55 daah dalali ananiambia bei leo inaenda na 40 sasa kuja kufungua gari viazi havitamaniki daah dalali ananiambia hivi tunauza 25 kama utaki kesho utamwaga dogo paka leo sijamlipa pia

Kuna mwana nae alisema nimmunulie mpunga huku usangu mbeya nikaona ngoja nitumie kidogo alafu mda ukifika ninunue nikachomoa laki 5 duuuh kule mambo yakabuma paka leo nimepoteza uaminifu Kwa asilimia kubwa

Mambo ni mengi wakuu paka leo nadaiwa pesa lukuki lakini sijakata tamaa tawalipa ila wawe wapole mana nakomaa kama kawaida

Vipi kwenu aisee tubadilishane changamoto za kudaiwa wakuu na jinsi gani tunakabiliana nazo ingawa paka saizi siogopi kabisa kudaiwa
 
Cheki huu uzi,utakusaidia kujua hauko peke yako kwny shida hio mkuu.

Sina Madeni sugu kwa upande wangu kwa kweli,
Madeni niliyonayo ni yale yanayolipika.
Na mara zote nakopa kitu nikiwa na uhakika wa kuweza kukilipa / kukirudisha ndani ya wiki moja mpaka mwezi.
Tukirudi upande wa pili, kuna watu nawadai mpaka imefikia sehemu naona kabisa hapa swala la kulipwa ni kuomba misiba au vifo vitakapo wapata, huenda hapo ndiyo nikijitokeza pale kuwa nilikuwa namdai jamaa, labda nitafikiriwa.
Na wengi niliwaamini tu kama ndugu, kwahiyo hata maswala ya dhamana sikuyapa kipaumbele. Mpaka sasa huwa nawaangalia na siamini.
 
Habari wakuu
Moja Kwa moja kwenye mada kudaiwa sio kosa kabisa kuna muda unajiona kama umefanya makosa vile kokopa

Kwa upande wangu nadaiwa hadi sio vizuri lakini sio maksudi wakuu kila nikikopa na kuamua kufanyia mission flani basi huwa ina feli na jinsi ya kulipa inakua shida kidogo ingawa kwa hali zote huwa najitahidi kulipa.

Kuna jamaa yangu alinikopesha million moja nifanye biashara daah biashara ikafa sikumwambia ukweli ila yeye alijua inaenda poa sababu tulikua mbalimbali basi bwana nikamwambia aongeze millioni tena jamaa huyo ile nakaribia kupiga faida mission ikafa nikapoteza zote jamaa kuja kujua nikamwambia takulipa tu alimaind lakini ndio hivo paka leo miaka kadhaa imepita sijamlipa bado ila nakumbuka na Mungu akipenda tamlipa tu

Kuna Mwana ile amepata kazi mi sijapata nikamkopa laki tano paka leo bado sijamlipa

Kuna dingi yangu mkubwa alipokua anastafu nikamkopa millioni 5 nikaingia shamba ilitokea dhahama huko sikupata hata mia paka leo mzee ananidai lakini ndio hivo tena namlipa maneno th

Kuna mshikaji wangu pia alikuta kibishara flani nafanya kilikua kinaonekana kina future nzuri sasa bwana akasema aweke pesa nae si akaweka million 5 baada ya miezi kadhaa daah likaja janga mzee tukapoteza pesa yote japo hajanidai ila namuona hayuko poa

Kuna kipindi mzee aliumwa basi nikamuuguza kipindi kirefu hadi pesa ikaisha basi nikampiga mwana mkopo akaniazima millioni 3 daah paka leo sijamlipa

Kuna dogo nae alinikopesha millioni moja na nusu ninunue viazi mviringo ile nimenunua tu nimepakia kwenye gari daah gari njiani likapata hitirafu kufika mabibo nilitegemea gunia lianzie elfu 55 daah dalali ananiambia bei leo inaenda na 40 sasa kuja kufungua gari viazi havitamaniki daah dalali ananiambia hivi tunauza 25 kama utaki kesho utamwaga dogo paka leo sijamlipa pia

Kuna mwana nae alisema nimmunulie mpunga huku usangu mbeya nikaona ngoja nitumie kidogo alafu mda ukifika ninunue nikachomoa laki 5 duuuh kule mambo yakabuma paka leo nimepoteza uaminifu Kwa asilimia kubwa

Mambo ni mengi wakuu paka leo nadaiwa pesa lukuki lakini sijakata tamaa tawalipa ila wawe wapole mana nakomaa kama kawaida

Vipi kwenu aisee tubadilishane changamoto za kudaiwa wakuu na jinsi gani tunakabiliana nazo ingawa paka saizi siogopi kabisa kudaiwa
wewew ni tajiri wa madeni huna ubishi. biashara usipende kubadili badili piga ishu moja kwa mda mrefu mpaka ikuzoee. sio kuruka ruka kukuru kakara
 
Hakuna kitu nachukia kukopa kama awamu hii na Ijayo, nimejiapiza nikiishiwa hela taishi hivyo hivyo, sitakopa hata senti tano kwa mtu. Now mishe mishe Hakuna inabidi tuishi kwa vipato vyetu vya mwezi, unajiwekea budget yako na unahakikisha matumizi yako hayazidi budget ambazo hujapanga.
 
Cheki huu uzi,utakusaidia kujua hauko peke yako kwny shida hio mkuu.

Afadhari mkuu ngoja nipitie wadaiwa wenzangu
 
Mkuu ilitikea huko nyuma katika kuhangaika ila saizi nimetulia napambana na nawaza jinsi ya kulipa hawa ndugu zangu
Hakuna kitu nachukia kukopa kama awamu hii na Ijayo, nimejiapiza nikiishiwa hela taishi hivyo hivyo, sitakopa hata senti tano kwa mtu. Now mishe mishe Hakuna inabidi tuishi kwa vipato vyetu vya mwezi, unajiwekea budget yako na unahakikisha matumizi yako hayazidi budget ambazo hujapanga.
 
Mkuu kumbe kuna uzi jamaa anadaiwa million 60 sasa si bora mimi
Nilichokupenda we jamaa unaishi kwa imani sana na matumaini makubwa, ni kama hujali maana mwingine hapo angeshapata presha kabisa!
Kwa upande wangu Nina madeni ya kawaida sio ya kutisha kivile, ingawa huwa najitahidi madeni yangu yaishie kukatwa kwenye mshahara.
 
Habari wakuu
Moja Kwa moja kwenye mada kudaiwa sio kosa kabisa kuna muda unajiona kama umefanya makosa vile kokopa

Kwa upande wangu nadaiwa hadi sio vizuri lakini sio maksudi wakuu kila nikikopa na kuamua kufanyia mission flani basi huwa ina feli na jinsi ya kulipa inakua shida kidogo ingawa kwa hali zote huwa najitahidi kulipa.

Kuna jamaa yangu alinikopesha million moja nifanye biashara daah biashara ikafa sikumwambia ukweli ila yeye alijua inaenda poa sababu tulikua mbalimbali basi bwana nikamwambia aongeze millioni tena jamaa huyo ile nakaribia kupiga faida mission ikafa nikapoteza zote jamaa kuja kujua nikamwambia takulipa tu alimaind lakini ndio hivo paka leo miaka kadhaa imepita sijamlipa bado ila nakumbuka na Mungu akipenda tamlipa tu

Kuna Mwana ile amepata kazi mi sijapata nikamkopa laki tano paka leo bado sijamlipa

Kuna dingi yangu mkubwa alipokua anastafu nikamkopa millioni 5 nikaingia shamba ilitokea dhahama huko sikupata hata mia paka leo mzee ananidai lakini ndio hivo tena namlipa maneno th

Kuna mshikaji wangu pia alikuta kibishara flani nafanya kilikua kinaonekana kina future nzuri sasa bwana akasema aweke pesa nae si akaweka million 5 baada ya miezi kadhaa daah likaja janga mzee tukapoteza pesa yote japo hajanidai ila namuona hayuko poa

Kuna kipindi mzee aliumwa basi nikamuuguza kipindi kirefu hadi pesa ikaisha basi nikampiga mwana mkopo akaniazima millioni 3 daah paka leo sijamlipa

Kuna dogo nae alinikopesha millioni moja na nusu ninunue viazi mviringo ile nimenunua tu nimepakia kwenye gari daah gari njiani likapata hitirafu kufika mabibo nilitegemea gunia lianzie elfu 55 daah dalali ananiambia bei leo inaenda na 40 sasa kuja kufungua gari viazi havitamaniki daah dalali ananiambia hivi tunauza 25 kama utaki kesho utamwaga dogo paka leo sijamlipa pia

Kuna mwana nae alisema nimmunulie mpunga huku usangu mbeya nikaona ngoja nitumie kidogo alafu mda ukifika ninunue nikachomoa laki 5 duuuh kule mambo yakabuma paka leo nimepoteza uaminifu Kwa asilimia kubwa

Mambo ni mengi wakuu paka leo nadaiwa pesa lukuki lakini sijakata tamaa tawalipa ila wawe wapole mana nakomaa kama kawaida

Vipi kwenu aisee tubadilishane changamoto za kudaiwa wakuu na jinsi gani tunakabiliana nazo ingawa paka saizi siogopi kabisa kudaiwa
we jamaa nahisi unakopaga kwa kizizi si bure
 
Mkuu mimi siyo wa kiimani sana ila kwa kiasi flani ninaamini kunaconnection kubwa kati roho za watu nanaotuzunguka na sisi wenyewe katika maisha ya kila siku. Sasa basi kufanikiwa inategemeana sana na jinsi tunavyochangamana na watu kihasi au kichanya. Epuka sana kuchukua kitu kwa ahadi ya kurudisha then ukaacha kufanya hivyo tena kwa watu ambao hawakupi hiyo pesa kibiashara nikimaanisha kwa riba. Usipoangalia utakula sana msoto,usiongeze hayo madeni mkuu ni bora ukaomba msaada upewe kuliko kuahidi utarudisha,ni kama umejifunga kwenye hiyo mikopo. Unaweza kuona waliokupa hawakusumbui ni poa tu ila rohoni huwezijua wapoje,fanya tathimini tokea loan ya kwanza hadi ya mwisho uone ilivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom