JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Feb 3, 2014 Thread starter #21 Daudi1 said: Wazee shoo yao si kubwa halafu mkwanja mrefu,wakati vijana mnasimamia shoo hata kwa kucha yaani usiku muda mwingi ni shoo halafu asubuhi mtu anaondoka na 5000 unafikiri watapenda kuwa na nyie vijana Click to expand... vijana kazi tunayo, wazee wanatupiga gape kwenye pesa.
Daudi1 said: Wazee shoo yao si kubwa halafu mkwanja mrefu,wakati vijana mnasimamia shoo hata kwa kucha yaani usiku muda mwingi ni shoo halafu asubuhi mtu anaondoka na 5000 unafikiri watapenda kuwa na nyie vijana Click to expand... vijana kazi tunayo, wazee wanatupiga gape kwenye pesa.
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Feb 3, 2014 #22 ^^ Hapa unasemea Wazee wasio na maadili ? ^^
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 Feb 3, 2014 #23 Karucee said: Wewe mwenyewe avatar yako inaonyesha unaendekeza mapenzi. Click to expand... mapenzi amegawanyika sana Karucee. you cat know maybe that is for my blved mom! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Karucee said: Wewe mwenyewe avatar yako inaonyesha unaendekeza mapenzi. Click to expand... mapenzi amegawanyika sana Karucee. you cat know maybe that is for my blved mom!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,686 Feb 3, 2014 #24 Kwani katika dunia hii unahitaji kuwapenda wanawake wangapi? Je ni wanawake wote vijana wana tabia ya kupenda ngawira za wazee?
Kwani katika dunia hii unahitaji kuwapenda wanawake wangapi? Je ni wanawake wote vijana wana tabia ya kupenda ngawira za wazee?
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Feb 3, 2014 Thread starter #25 watu8 said: Kwani katika dunia hii unahitaji kuwapenda wanawake wangapi? Je ni wanawake wote vijana wana tabia ya kupenda ngawira za wazee? Click to expand... wewe una wanawake wangapi?
watu8 said: Kwani katika dunia hii unahitaji kuwapenda wanawake wangapi? Je ni wanawake wote vijana wana tabia ya kupenda ngawira za wazee? Click to expand... wewe una wanawake wangapi?
Cruzoo Member Joined Jan 30, 2014 Posts 45 Reaction score 35 Feb 3, 2014 #26 Sasa kama vijana hela yenu ya mawazo, mnawazuiaje sasa hao binti wapenda maisha ya juu?? JEKI said: kwa hiyo ni sawa kupiga kimoja tu halafu akulete wewe upige vyombo? Click to expand...
Sasa kama vijana hela yenu ya mawazo, mnawazuiaje sasa hao binti wapenda maisha ya juu?? JEKI said: kwa hiyo ni sawa kupiga kimoja tu halafu akulete wewe upige vyombo? Click to expand...
Cruzoo Member Joined Jan 30, 2014 Posts 45 Reaction score 35 Feb 3, 2014 #27 Mmehamia hata kwa sisi wanaume wenzenu?? Wazee ni hazina sio ya hekima wala nini.... hazina ya kuchunwa Utingo said: thubutu...ntafute uone Click to expand...
Mmehamia hata kwa sisi wanaume wenzenu?? Wazee ni hazina sio ya hekima wala nini.... hazina ya kuchunwa Utingo said: thubutu...ntafute uone Click to expand...
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Feb 3, 2014 Thread starter #28 Cruzoo said: Mmehamia hata kwa sisi wanaume wenzenu?? Wazee ni hazina sio ya hekima wala nini.... hazina ya kuchunwa Click to expand... nadhani hapo hujamuelewa mkuu, tatizo la jf mtu kaweka picha ya mwanamke kumbe mwanaume, jamaa akaamua kujumlisha atachagua mbele ya safari.
Cruzoo said: Mmehamia hata kwa sisi wanaume wenzenu?? Wazee ni hazina sio ya hekima wala nini.... hazina ya kuchunwa Click to expand... nadhani hapo hujamuelewa mkuu, tatizo la jf mtu kaweka picha ya mwanamke kumbe mwanaume, jamaa akaamua kujumlisha atachagua mbele ya safari.
Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 878 Feb 3, 2014 #29 Kama hujaonja mzee hujajua mapenzi achana na wazee bana handle with care mbaya sana.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,466 Feb 3, 2014 #30 Himidini said: ^^ Hapa unasemea Wazee wasio na maadili ? ^^ Click to expand... Yah!! wale wanaojifananisha na watoto.
Himidini said: ^^ Hapa unasemea Wazee wasio na maadili ? ^^ Click to expand... Yah!! wale wanaojifananisha na watoto.