Wazee wanaojua fitina

Mbona binti mwenyewe wa kawaida sana, vipi mzee apagawe kiasi hicho
 
Duu!! io ndinga sas cjui Ni Range... aya bwan...ngoja nijchape kaprince mara1..ntakuj kucomment badae..
 
Kuna wakati katika maisha ya mwanaume masculinity na sexual potence ndio huwa msingi wa uanaume wake ;
Kadhalika kuna wakati katika maisha ya mwanaume, ulimi romantic na pesa ndivyo huwa msingi wa uanaume wake.

Ndio maana watu husema "Wazee wanajua kulea" lakini vijana.......

CC Mshana Jr
 
hivi huyu mdada si ndio aliimba ule wimbo wa crazy over you akimlalamikia mpenzi wake kuwa hajui mapenzi
 
Mi naona safi sana...

You will never know what Mengi passed through kwenye mapenzi aisee...

Finally akakutana na pumziko la moyo wake Jackie!

Hua tunadhani rich men always have it easy,ila for what I can see,Mengi aliteseka sana akaokolewa na huyu dada!

Either way Mengi is happy,and thats a beautiful thing for both!
 
Fweza bhanaaaa, mzee na uzee wake wote anajilia papuchi mbichiiiiiiiiiiii.
 
Mbona kijana hivyo, mzee kauaa anashindana na watoto wake nini
 
ha ha mzee kanogewa na yale maji yanayoruka kwa kasi toka mto ngono karibu na katerero kwa sauti tunasema wakora waitu!
Hata mie huwa navipenda vile vimaji vinavyoruka chriiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…