Wazee wa Video Games tutulie hapa

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Wazee wa Ku refresh kwa kucheza Video games huu hapa uwanja wenu.

Hapa Kuna wa Fifa na wale wapenda PES. Wengine wanakuambia FIFA ndo habari ya mjini wa PES nao wanasema PES ndo homa ya jiji.

Alafu unajua nini hata kwenye players wengine wanasema Messi ndo King of Fifa stats zake ni noma na ndiye mchezaji bora wa game ya FiFa. Halafu kwenye PES wanasema Ronaldo ni moto wa kuotea mbali.
 
PES ni game au takataka?

Hakuna anayependa game ya mpira akaipenda PES

Wengi wanaocheza PES wanacheza kwasab lina run smoothly kuliko FIFA kwenye pc zenye specifications za kawaida!

Huku niliko sijawahi muona mtu anamiliki PS akacheza PES ila wanaomiliki PC ndio wanacheza PES
 
Utafiti unaonesha wadada wanaocheza Video games hupendela ngono na huwa na furaha kwenye mahusiano yao.
 
Bado una mawazo ya kijima sana mkuu.
Badilika game burudani kama burudani zingine. Wakati ww unaenda kulewa me niko home naenjoy game. Na game mkuu zinatumia akili nyingi kuliko ufikiliavyo.
Tafuta hela wewe acha kulega-lega na Game
 
PES ni game au takataka?

Hakuna anayependa game ya mpira akaipenda PES

Wengi wanaocheza PES wanacheza kwasab lina run smoothly kuliko FIFA kwenye pc zenye specifications za kawaida!

Huku niliko sijawahi muona mtu anamiliki PS akacheza PES ila wanaomiliki PC ndio wanacheza PES
PC zina nguvu kuliko PS.
 
Nilikuwa mkali sana kwa watoto wangu kuhusu kucheza game kila saa, lakini baada kuanza kuona Gaming Industry sasa inazipita hata michezo ya kweli pato la mwaka 2018 lilikuwa US$134.9 billion na kuna mashindano mshindi wsa kwanza anapata mpaka $ milioni 5 na mashindano yako season nzima,
Nikaona mhhh labda kuna mbadala wa maisha, sisi yalishatupita kushoto kunga'ania shule tu.
 
Wazee wa Ku refresh kwa kucheza Video games huu hapa uwanja wenu..!

Hapa Kuna wa Fifa na wale wapenda PES
Wengine wanakuambia FIFA ndo habari ya mjini wa PES nao wanasema PES ndo homa ya jiji.

Alafu unajua nini hata kwenye players wengine wanasema Messi ndo King of Fifa stats zake ni noma na ndiye mchezaji bora wa game ya FiFa
Alafu kwenye PES wanasema Ronaldo ni moto wa kuotea mbali.
Nimecheza sana KONAMI PES
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom