Naongea na wewe!

Ungekuwa Wewe Umemfumania Mume wako na Rafiki Yako Unachukua Uamuzi Gani

  • Utaaachana Nao na kuondoka Zako

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1

Greataziz

Senior Member
Feb 8, 2018
124
99
NAONGEA NA WEWE!!!!

Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,
Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,
mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao
Amepoteza muda wake kwaajili yako
Amekuamini wewe
Ametulia anajua ndoa inafuata hivi karibuni halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.
Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi kuoa
Mwanamke hajui kukatika
kitandani
nataka kuoa fundi wa
kumiliki kitanda, Ulimfundisha??
Kwani unaoa mke wa
kujenga nae Familia au
unaoa mke wa kwenda
kufungua
bendi ya kukata viuno??
Maana kama nia yako ni kupata
mke anayekatika basi ungeenda
kuoa Wanenguaji kwenye
bendi ya
Akudo Impact.
Mnaumiza watoto wa watu
kibwegebwege na sababu za
kijinga,
Kwani utakula kiuno
all ur life?
Au mtajenga uchumi wa familia kwa kukatika kitandani??
Acha kucheza na hisia za wanaweke wewe.
[HASHTAG]#Ninajali[/HASHTAG]..

Nimetupa jiwe kizani kama limekukuta nisamee bure.
SHARE
 
Huu uzzi Nauona kivingine kabisa, Ukweli ni kwamba ukimuona mtu anakufuata kimyakimya kizani?" Ujuwe anataka (kukuuwa)... sasa mkuu labda mi nikuulize swali " Hivi unatambua kwamba watoto wakike ndio wenye kuongoza kw tabia mbaya hapa duniani??" Kama haufaham basi bahati yako mbaya, ila ukweli ni kwamba wewe mwenye ndo namba moja kuwa na tabia mbaya hasa ktk hayo ulio yasema hapo juu" Maana nakufaham vizuri sana, swali lamwisho kwanini mpaka leo bado unachagua mwanaume wa kukuowa??* Na kama huchagui kwanini hujaolewa hadi leo!?*
 
Mkulima Hohehahe anayeishi Peponi!!!!!???

Naona kivuli cha Mwanamke kwenye picha za wanaume.

Ujumbe ni mzuri sana kwa jamii yetu.
Hongera sana maana umekumbusha jambo jema
 
Damn Rekebisha swali Lako Hapo angalia profile Yangu ujue jinsia Yangu ndio uulize Tena swali Lako, Halafu sidhani kama unanifahamu Sana
 
Mkulima Hohehahe anayeishi Peponi!!!!!???

Naona kivuli cha Mwanamke kwenye picha za wanaume.

Ujumbe ni mzuri sana kwa jamii yetu.
Hongera sana maana umekumbusha jambo jema
Asante Ndugu Yangu ni Vema kukumbushana Haya Mambo
 
Asante Mkuu , umenena vilivyo !!.

MTU anajua huyu mwanamke sitomuoa ,alafu anamtumiaa zaidi ya Five yrs ,apo kamtolesha mimba kama mbili.

Alafu anamuacha !! Wanaume wengine ndo maana mafanikio niwimbo unaiusikia tu.

When she was really , you were bad ....mbafu sana.
 
Mkuu unafikiri wale wanenguaji wanaokata viuno jukwaani na kitandani ni hivyohivyo
 
Ni ukweli kabisaaa ila wenye magunia yetu Ya dhambi za kuwatesa wanawake tukiona huu uzi tunafumba macho na kuchapa mwendo ,,,ila ukweli unaumaaa
 
Mwanamke ni sawa na karata ndugu, karata zikiwa mpya kila mtu anavutiwa kuzicheza, sasa ngoja zipauke uone.
Kuchezewa hakumchakazi mke,
Ni umaridadi na hali Ya kiuchumi
Ndo zinawafanya wengine. waonekane
Wamechoka
 
Tatizo mkisha kaa kwenye uchumba mnajisahau vitu muhimu na vya maana mnajiona msha fika, jamaa anakupa muda wa 5yrs ujirekebishe mwenyewe lakn hujiongezi, anaona miaka 5 tu unajisahau hvyo je ndo ya milele si ndo utakua bwege kabisa... Basi jamaa anakata kamba anachukua chombo matata, chombo ya fundi..
Hongera sana asee wanasema 5yrs is just number
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom