wazee wa Salasala mpoo.,cheki hapa

wazee wa Salasala mpoo.,cheki hapa

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
411
Haya ni maandamano yaliyofanyika hivi karibuni huko Salasala.,ona mabango yao sasa..
 

Attachments

  • maandamano 3.JPG
    maandamano 3.JPG
    14.5 KB · Views: 544
  • maandamano 2.JPG
    maandamano 2.JPG
    16.5 KB · Views: 272
  • maandamano.JPG
    maandamano.JPG
    39.8 KB · Views: 585
Mh maandamano nchi hii ? Sijui yanafuatia ya nini na akina nani
 
N a huku Kimara pia kunatatizo kubwa hali ni mbaya sana kunajamaa anamega mke wa teacher live kabisa na huyo mke hana ataadabu kwa mumewe. Kisa jamaa na vijicent hovyoo!
 
Naungana na waaathirika wote wa Sala Sala kupinga kwa nguvu zote vitendo hivi vya kifisadi kwenye ndoa za wenzetu...shime ndugu tukisimama imara katika hili UKIMWI utapungua na hatimaye maisha kurudi km zamani!
 
Hivi ni Salasala ipi, maana Salasala ni kubwa kuna mabanda mengi,kuna kidzudi,madukani,mboma road,mkonde road....Ni wapi yalitokea haya?
 
Hii kali poleni wahanga, Ningewashauri waende Kyela-Mbeya kunadawa nzuri tu, kamchezo hako katakufa kenyewe!
 
Haya ni maandamano yaliyofanyika hivi karibuni huko Salasala.,ona mabango yao sasa..

Tunaomba picha itakayotupa picha ya idadi ya washiriki, maana hizi ni kama umepiga nje ya nyumba yako, asante lakini.
 
haya yalikua ni maandamano au ni watu tu waliona waandike mabango pale walipo
attachment.php
 
N a huku Kimara pia kunatatizo kubwa hali ni mbaya sana kunajamaa anamega mke wa teacher live kabisa na huyo mke hana ataadabu kwa mumewe. Kisa jamaa na vijicent hovyoo!
Si muandamane nanyi au kama mnataka kupewa 'semina elekezi' jinsi ya kuandamana na vibali muwasiliane na member hapa anaitwa Tuandamane.
 
Instead of confronting each other they resort to maandamano but si kosa lao...ss hv hata chekechea wakinyimwa uji wataandamana..
 
Back
Top Bottom