Kutoka dodoma magari alikuwa mengi nimeingia saa 12,nilikuwa na chuma hiyoUnafanya nini njiani mkuu au kuna sehemu unapitia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka Tabora kuitafuta Chaya,chuma iikamate Tura-Mabeshi,ije ikate pale mpakani uanze kuitafuta Gang 48 (KAZI KAZI) hadi Itigi ni 240 Km tu mkuu halafu mkeka upo skwea kinoma,masaa mawili na nusu tu hapo unapafyatua mkuu kama unawamudu wazee wa sare nyeupe,ukifika Itigi kula kuku kidogo pale kwa Sambiga,opposite na St.Gasper Refferal Hospital,saa moja net nyoosha mguu mwamba futa izo km 36 chuma itokee Manyoni town then kula izo 127 ibuka dom,hizo 440+km za kuichapa Dsm mbona saa 9 nightmare uko jiji mzee???
Ni kweli mkuu ukiwa full yani gari haina maseke ni raha kutembea.Yes ndio maana kwa sisi wapenzi wa road convoy za usiku una make sure taa zako zipo byee, wiper n wind screen ziwe in good shape, na ikibidi vaa night driving goggles...always KEEP A GOOD FOLLOWING DISTANCE, pointer aki brake ghafula kusimama LAZIMA nawe uwe in a position to stop sio kumgonga au kuingia porini
Mweeeh![emoji81] siulikuwa unahisi akitembei unaweza kukatoa moshi kwa kukanyaga mafuta hadi mwishoHasa kale ka IST 1.3L ni majanga nilienda nako Dom ni huzuni[emoji23]
Maeneo kama ardhi ya Singida hivi location.Kutoka dodoma magari alikuwa mengi nimeingia saa 12,nilikuwa na chuma hiyoView attachment 2331649
Umeshaweza kuendesha mwendokasi?Wakuu eti mwendokasi au mwendo wa kawaida upi unakula sana mafuta, nataka kuminimize cost za mafuta pale inapowezekana
Maeneno ya itigiMaeneo kama ardhi ya Singida hivi location.
Yaaah chuma ina unyama mwingi sana ,ya kibabe kwa level zake 2AZ hiyo 2.5 sio ya kizembe sana nayo.
Hiyo ardhi na hivyo vichaka chaka vyake nilijua tu code za "Kindai" hizo.Maeneno ya itigi
Tukamwage moto Mbeya,lets prepare a tour to MATEMA BEACH wazee mpo tayariiiiiiiiiiiiii?Mfatiliaji sana wa huu uzi. Naona kuna ma exparts wengi wa kulenga madaraja. Natamani siku lipigwe battle la kimyakimya yaani kama marathon zao zile mnapoint mkoa na start line na siku kimya kimya afu tunakiwasha just for fun.
Itakua poa sana.
Kuna watu mtawaonea mkuu [emoji16] maana najua hakutakua na mwendo mdogo ni kupimiana tu Road.Tukamwage moto Mbeya,lets prepare a tour to MATEMA BEACH wazee mpo tayariiiiiiiiiiiiii?
Matema Beach ni sehemu nzuri sana ,ufukwe wa ziwa Nyasa,ipo Kyela,nje kidogo ya mji wa Kyela kama unaelekea Ipinda,unavuka Fubu Talatala,Mto Mbaka pia.
Waliotayari tunyooshe mikono juu tupeane utaratibu.
Kwenye saa moja ,kipengele kinaanzia dodoma to darHiyo ardhi na hivyo vichaka chaka vyake nilijua tu code za "Kindai" hizo.
Kama ulitoka saa 10 TBR,hii picha uliipiga saa ngapi hapo Itigi mkuu,au ndo tuseme ulimwaga moto mithili ya 1VD ???
Always mkuu safety comes first,hii ni saa moja ya asubuhi au usiku?,binafsi ni night to night 🌙Kwenye saa moja ,kipengele kinaanzia dodoma to dar
Kwa saa moja ya usiku mwanangu umetupiga hapaKwenye saa moja ,kipengele kinaanzia dodoma to dar
Nimetoka Tabora saa 11 alfajiri,dodoma nimeingia saa 4 asubuhiKwa saa moja ya usiku mwanangu umetupiga hapa
AsubuhiAlways mkuu safety comes first,hii ni saa moja ya asubuhi au usiku?,binafsi ni night to night [emoji287]
Hino zile ziko vizuri natamani nione mpepetano na 1hd-fte,sijabahatika ile ligi hasa.Pa kiboya sana njia ina mashimo sana hio ishanikatiaga uzi wa tyre nikafika tairi ina vinundu kama imeng'atwa na nyuki [emoji23][emoji23][emoji23] af kuna zile bus za Hino madereva wake wanaendesha kama wamekula ndumu!
Mwendo wa kawaida hauli mafuta ila shida ni kuchelewa na kupitwa mda wote hata na malori mazee[emoji3].Wakuu eti mwendokasi au mwendo wa kawaida upi unakula sana mafuta, nataka kuminimize cost za mafuta pale inapowezekana
Toka igawa hadi tunduma hakuna barabara hapo, mshimo yakutosha na ina magema ya kutosha, kama ni mgeni wa njia hiyo sikushauri uzidi 120kmphYes ndio maana kwa sisi wapenzi wa road convoy za usiku una make sure taa zako zipo byee, wiper n wind screen ziwe in good shape, na ikibidi vaa night driving goggles...always KEEP A GOOD FOLLOWING DISTANCE, pointer aki brake ghafula kusimama LAZIMA nawe uwe in a position to stop sio kumgonga au kuingia porini
Kwa gari yako(IST) ukishaanza kwenda 130+kph kanaanza kunywa wese badala ya kunusa. Kwa mjini kuwa mpole tu usikurupuke kwenye mataa au foleni kanyaga taratibu tu.Wakuu eti mwendokasi au mwendo wa kawaida upi unakula sana mafuta, nataka kuminimize cost za mafuta pale inapowezekana